gidume
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 743
- 915
Rahisi eee
Mwenzako anajua akishafanya hivyo anayachukua magunia anaenda kuyamwaga sokoni anapewa pesa anaondoka [emoji28][emoji28].. maisha simple sana ukiyasikia kwa story za mdomo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rahisi eee
Anauza ila sio kwenye harrier...!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Heekuna kipindi miaka ya nyuma nilitoa pilipili hoho kutoka lukozi lushoto kuleta kariakoo, kilichonikuta, nilitamani nitelekeze mzigo sokoni nitoroke mwenye usafiri
Mwisho umesema usahihishwe, au sivyo?Soma mpaka mwisho wa niliyoyasema. Inasikitisha mkongwe kama wewe kukurupuka na kufuata mkumbo.
[emoji23][emoji23]Sawa ingia sasa sokoni ufanye mambo
ushawah kuifanya mkuu?Nchi hii biashara ya mazao ya kilimo ni pasua kichwa Sana.
Bora uwe dalali wake
Mpaka namaliza kusoma UZI nna faida ya kama laki 7 hiviii!!!
town au?Naomba niwe wakala wako nipo huku mbeya. Nakutafuti mazao ya uwakika kwa bei ya faida
😆😆Rahisi eee
Wakala au dalali?Naomba niwe wakala wako nipo huku mbeya. Nakutafuti mazao ya uwakika kwa bei ya faida
Acha woga, mwenzio kafanya utafiti, wewe fungua macho na kuchangamkia FURSA , Dar kuna nafasi ya kuchanua kimaisha kupitia biashara. Tubadilike watz tuondoe wogaKuna usafiri wa wewe mwenyewe, pakufikia(Accommodation) kwa siku kadhaa, kula kwa siku kadhaa
duuu hivi dalali ni mhuni na wakala anaheshimika kidogoWakala au dalali?
Unataka ujifiche nyuma ya neno wakala ilihali wewe ni dalali
Shukrani kwa mchango wako.Mzee baba kimahesabu hesabu zako hazijabalance, mzani umeegamia upande mmoja hesabu zako zina Profit pekee hazina loss account. Mchanganuo huu unahitaji kujua changamoto pia za biashara husika na namna ya kuikuza biashara yenyewe iwe kubwa!
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app