bioto JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 1,261 Reaction score 2,097 Oct 28, 2022 #1 Wakuu poleni na majukumu naombeni msaada was kupata hi nyimbo ya bongo fleva yenye mistari ''sura yako inaiita kwako...macho yakoyananiita kwako sioni kasoro...
Wakuu poleni na majukumu naombeni msaada was kupata hi nyimbo ya bongo fleva yenye mistari ''sura yako inaiita kwako...macho yakoyananiita kwako sioni kasoro...
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Oct 28, 2022 #2 Dedication inapelekwa kwa nani, ila uki goggle ungeupata