Macho Yanayoongea....

Macho Yanayoongea....

Kasie

Platinum Member
Joined
Dec 29, 2013
Posts
22,379
Reaction score
41,294
Habari za mchana nyote.

Natumai mmeshapata mlo wa mchana na kama bado basi niwatakie mlo mwema mtakapopata nafasi wa kuubwia.

Naomba nisimulie kile macho yangu yanaona na ubongo unanipa taarifa. Likizo imesha na kazi ndogo ndogo za kuuchangamsha mwaka zimeshaanza. Bado niko ofisi ndoo sijarudi makao.

Hapa ofisini kuna kijana mtanashati tuu mwenye fani yake (nikisema fani namaanisha amebobea kwenye taaluma flani aka certified). Sasa huyo kijana tangu mwaka jana alipofika ofisini alikuwa ananisemesha kwa macho.

Kijana mwenyewe mpolee tuu ila nikipita anavonitazama (nikijikuta nami namtizama kama napita kwenda ofii nyingine) unaona macho yake yanaongea.....

Tangu jumatatu nilivyoripoti kazini, akifika tuu kanakuja kunisalimia, ila haniambiaa shkamoo. Utasikia dada habari ya asubuhi.... sasa mie nasoma macho yake yanavyonianglia akiwa ananitizama......

Sijamwambia mtu yeyote kuhusu hili nikisema hapa basi kinakuwa kimeishia hapa maana kwanza ni mdogo kwangu kiumri sanaa tuu. (hii waliokuja PM na umri kasoro bahari watathibitisha vile niko allergic na umri mdogo aka Ben10.

Ila huwa namjibu na kumuongelesha kawaida tuu akihitaji msaada kama vile sijaona na sifahamu maneno anayoniongelesha kwa macho yake. Nakumbuka wakati niko likizo kuna kazi alikuwa anafanya akahitaji msaada wangu, akaomba namba ya simu akanipigia..... sijui .... lakini nahisi sauti ilimletea shida (usiniulize shida gani).

Nakutana na watu wengi tuu mtaani wanakuongelesha kwa macho ila unapiga ukope unaendelea na safari. Kilichonifanya nilete huu uzi hapa ni kuwa, huyu kijana leo kajitutumua ameomba tutoke wote kwenda kula mlo wa mchana. Nikajikaza nikamjibu kistaarabu kabisa, mdogo wangu leo nna majukumu mengi nisamehe sitoweza na hii ni hadi mwezi uishe siwezi kukuahidi mwezi ujao.

Masikini akasema sawa dada, pole na kazi na kazi njema.

Hivi na nyie huwa mnakutana na watu wanaowasemesha kwa macho??!!

Kasinde
 
Kijana anakupenda,siku akimpa najua atatuwakilisha vzr sana na utawasahau wazee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Personally I love women who are older then me.
I dont know why exactly but i think may be cause I love history. Nataka nikiwa na mwanamke niwe napiga nae story za matukio ya mwaka 94,93 etc even though i was born 80s mwishoni.

Najua hata tukiishi pamoja tutakuwa tusikiliza nyimbo kama
" Tumsifu Mungu baba wote hata Mara moja kwa Juma"
 
Sasa hiyo "ngao" ya "mwezi" mzima huoni kama kuna kitu optimistically na wewe umemjibu?
(kwamba mzigo upo ni juhudi zake tu)
 
Mimi mwenyewe nimeshawahi kumsemesha dada mmoja hivi mkubwa sana ukilinganisha na mim, alikuwepo hapa mtaani kwetu. Ila nashkuru aliyaelewa macho yangu na kuyatendea haki....
 
Kasie..

Kaja kukutoa lunch...

"..Ukajikaza, ukamjibu kistaarabu.."

Nini haswa msingi wa kumjibu 'kistaarabu'..?

Btw, Heri ya mwaka mpya!
 
Utamuachia tuu papuch.Iliwai nitokea nime replot kwa mahakama nikakutana na mdada anatandam ya hatari kumuona tuu nikamnock akawa analeta zarau zarau nilipokuja kugundua kadataga na mimi alafu anakunywa beer kama mimi sikuangaika nilivyotoka kwa office nikaingia kwenye grocery iliyopo karibu na maeneo ya mahakamani nikakaa kwa njee napiga larger nikiwaza nitakavyo mla kibonge yule muda sio mrefu akatoka kwa office kabla hajaondoka akaniona naburudika na larger akapunga mkono jambo ambalo halikua la kawaida Kesho yake macho kama yote kila akija kwa chamber yetu nikamualika kwenye beer jioni siku iyoiyo nikamla kibonge ukawa ndio mchezo na huyo make wa mzee flan.Kawaida yangu wadada walionizidi miaka kumi siwaachi hadi kumi na tano nawala chura ndio ugonjwa yaan ntafanya chochote adi nimkule.
 
Tatuzo bibi yangu unajiremba mnoo hadi unaonekana kama KABINTI kwa miaka 18... kwann sasa vijana tusikutamani???

Walioniona mashahidi, hata sijirembi hata kidunchuu, mafuta ya mawese ndo nnachopaka kwenye ngozi yangu. Kama hayo ndo yananivutia na kunifanya nionekane kijana basi shughulii...

Halafu... mbona mabinti wanaojiremba wako wengi tuu...?? ambao hawana kunyanzi?!!!

Acheni fujo zenu banaa.
 
Personally I love women who are older then me.
I dont know why exactly but i think may be cause I love history. Nataka nikiwa na mwanamke niwe napiga nae story za matukio ya mwaka 94,93 etc even though i was born 80s mwishoni.

Najua hata tukiishi pamoja tutakuwa tusikiliza nyimbo kama
" Tumsifu Mungu baba wote hata Mara moja kwa Juma"

Duuh you have your character aiseeh....

Kila la kheri.
 
Sasa hiyo "ngao" ya "mwezi" mzima huoni kama kuna kitu optimistically na wewe umemjibu?
(kwamba mzigo upo ni juhudi zake tu)

Hapana, hiyo ni polite NO, na kiukweli nina tight schedule kuelekea mwisho wa mwezi na lazima nitimize malengo ya kazini maana hela naipenda.

Namba ndogo hakuna mzigo, mzigo ni wa Dadii peke yake.
 
Mimi mwenyewe nimeshawahi kumsemesha dada mmoja hivi mkubwa sana ukilinganisha na mim, alikuwepo hapa mtaani kwetu. Ila nashkuru aliyaelewa macho yangu na kuyatendea haki....

Looh, poleni kwa kushurutika.
 
Back
Top Bottom