Macho Yanayoongea....

Macho Yanayoongea....

Kasie..

Kaja kukutoa lunch...

"..Ukajikaza, ukamjibu kistaarabu.."

Nini haswa msingi wa kumjibu 'kistaarabu'..?

Btw, Heri ya mwaka mpya!

Niko hivyo... hata wanaonijia PM na lugha za kero huwa nawajibu kistaarabu tuu....
 
Utamuachia tuu papuch.Iliwai nitokea nime replot kwa mahakama nikakutana na mdada anatandam ya hatari kumuona tuu nikamnock akawa analeta zarau zarau nilipokuja kugundua kadataga na mimi alafu anakunywa beer kama mimi sikuangaika nilivyotoka kwa office nikaingia kwenye grocery iliyopo karibu na maeneo ya mahakamani nikakaa kwa njee napiga larger nikiwaza nitakavyo mla kibonge yule muda sio mrefu akatoka kwa office kabla hajaondoka akaniona naburudika na larger akapunga mkono jambo ambalo halikua la kawaida Kesho yake macho kama yote kila akija kwa chamber yetu nikamualika kwenye beer jioni siku iyoiyo nikamla kibonge ukawa ndio mchezo na huyo make wa mzee flan.Kawaida yangu wadada walionizidi miaka kumi siwaachi hadi kumi na tano nawala chura ndio ugonjwa yaan ntafanya chochote adi nimkule.

Huyo dada alikupenda kabla hujampenda, tofauti na huyu dogo yeye ndo ananiongelesha kwa macho, mmie sina habari nae..
 
Habari za mchana nyote.

Natumai mmeshapata mlo wa mchana na kama bado basi niwatakie mlo mwema mtakapopata nafasi wa kuubwia.

Naomba nisimulie kile macho yangu yanaona na ubongo unanipa taarifa. Likizo imesha na kazi ndogo ndogo za kuuchangamsha mwaka zimeshaanza. Bado niko ofisi ndoo sijarudi makao.

Hapa ofisini kuna kijana mtanashati tuu mwenye fani yake (nikisema fani namaanisha amebobea kwenye taaluma flani aka certified). Sasa huyo kijana tangu mwaka jana alipofika ofisini alikuwa ananisemesha kwa macho.

Kijana mwenyewe mpolee tuu ila nikipita anavonitazama (nikijikuta nami namtizama kama napita kwenda ofii nyingine) unaona macho yake yanaongea.....

Tangu jumatatu nilivyoripoti kazini, akifika tuu kanakuja kunisalimia, ila haniambiaa shkamoo. Utasikia dada habari ya asubuhi.... sasa mie nasoma macho yake yanavyonianglia akiwa ananitizama......

Sijamwambia mtu yeyote kuhusu hili nikisema hapa basi kinakuwa kimeishia hapa maana kwanza ni mdogo kwangu kiumri sanaa tuu. (hii waliokuja PM na umri kasoro bahari watathibitisha vile niko allergic na umri mdogo aka Ben10.

Ila huwa namjibu na kumuongelesha kawaida tuu akihitaji msaada kama vile sijaona na sifahamu maneno anayoniongelesha kwa macho yake. Nakumbuka wakati niko likizo kuna kazi alikuwa anafanya akahitaji msaada wangu, akaomba namba ya simu akanipigia..... sijui .... lakini nahisi sauti ilimletea shida (usiniulize shida gani).

Nakutana na watu wengi tuu mtaani wanakuongelesha kwa macho ila unapiga ukope unaendelea na safari. Kilichonifanya nilete huu uzi hapa ni kuwa, huyu kijana leo kajitutumua ameomba tutoke wote kwenda kula mlo wa mchana. Nikajikaza nikamjibu kistaarabu kabisa, mdogo wangu leo nna majukumu mengi nisamehe sitoweza na hii ni hadi mwezi uishe siwezi kukuahidi mwezi ujao.

Masikini akasema sawa dada, pole na kazi na kazi njema.

Hivi na nyie huwa mnakutana na watu wanaowasemesha kwa macho??!!

Kasinde

Kasie habari za mchana,
.............................nimesoma neno baada ya neno katika hiyo simulizi yako,................................................... ila hapo kwenye neno lenye rangi ya nyekundu, ndo mi nataka unisaidie................................

..........................alafu ujue na mimi nna macho eeh,..............................kama noma........................

................................................"Nawe pia nikutakie Mchana mwema"

Wasalaam,

Mwenzetu
 
Hhahahahaha nilishikwa na kicheko kile cha kuona yaani wewe dogo baada ya kunisemesha kwa macho sasa unataka unitoe lunch ili ukanitongozee huko hehehehehehee. Ila nikaona nikicheka hicho kicheko ntampotezea ujasiri na kumtia hofu aanze kujikagua kuwa suruali imeachia u kiatu kimekatika. Hapo nilijikaza nisicheke....

Macho yako yako kama ya Guddu...!!?? aka Gudume??
 
....................................Chonde chonde,Bibi weye,.......................hala hala, hayo macho yawe na mipaka,ujue kuwa "Mume ni Mume hata akiwa gumegume ana sifa za mtume"..................................

............................................Asante kwa sifa hiyo ya Gudume,......................................................

Hhahahahahahahhaaa uko vizuri kwenye kutunga mashairi....

Macho kumchuziiii...

Macho yanayoongea hehehehehehee

Mchana mwema.
 
Walioniona mashahidi, hata sijirembi hata kidunchuu, mafuta ya mawese ndo nnachopaka kwenye ngozi yangu. Kama hayo ndo yananivutia na kunifanya nionekane kijana basi shughulii...

Halafu... mbona mabinti wanaojiremba wako wengi tuu...?? ambao hawana kunyanzi?!!!

Acheni fujo zenu banaa.
Vijana wengi saiv tunapenda wanawake Ambao wako naturally
 
Habari za mchana nyote.

Natumai mmeshapata mlo wa mchana na kama bado basi niwatakie mlo mwema mtakapopata nafasi wa kuubwia.

Naomba nisimulie kile macho yangu yanaona na ubongo unanipa taarifa. Likizo imesha na kazi ndogo ndogo za kuuchangamsha mwaka zimeshaanza. Bado niko ofisi ndoo sijarudi makao.

Hapa ofisini kuna kijana mtanashati tuu mwenye fani yake (nikisema fani namaanisha amebobea kwenye taaluma flani aka certified). Sasa huyo kijana tangu mwaka jana alipofika ofisini alikuwa ananisemesha kwa macho.

Kijana mwenyewe mpolee tuu ila nikipita anavonitazama (nikijikuta nami namtizama kama napita kwenda ofii nyingine) unaona macho yake yanaongea.....

Tangu jumatatu nilivyoripoti kazini, akifika tuu kanakuja kunisalimia, ila haniambiaa shkamoo. Utasikia dada habari ya asubuhi.... sasa mie nasoma macho yake yanavyonianglia akiwa ananitizama......

Sijamwambia mtu yeyote kuhusu hili nikisema hapa basi kinakuwa kimeishia hapa maana kwanza ni mdogo kwangu kiumri sanaa tuu. (hii waliokuja PM na umri kasoro bahari watathibitisha vile niko allergic na umri mdogo aka Ben10.

Ila huwa namjibu na kumuongelesha kawaida tuu akihitaji msaada kama vile sijaona na sifahamu maneno anayoniongelesha kwa macho yake. Nakumbuka wakati niko likizo kuna kazi alikuwa anafanya akahitaji msaada wangu, akaomba namba ya simu akanipigia..... sijui .... lakini nahisi sauti ilimletea shida (usiniulize shida gani).

Nakutana na watu wengi tuu mtaani wanakuongelesha kwa macho ila unapiga ukope unaendelea na safari. Kilichonifanya nilete huu uzi hapa ni kuwa, huyu kijana leo kajitutumua ameomba tutoke wote kwenda kula mlo wa mchana. Nikajikaza nikamjibu kistaarabu kabisa, mdogo wangu leo nna majukumu mengi nisamehe sitoweza na hii ni hadi mwezi uishe siwezi kukuahidi mwezi ujao.

Masikini akasema sawa dada, pole na kazi na kazi njema.

Hivi na nyie huwa mnakutana na watu wanaowasemesha kwa macho??!!

Kasinde
🤣🤣🤣🤣🤣
 
Personally I love women who are older then me.
I dont know why exactly but i think may be cause I love history. Nataka nikiwa na mwanamke niwe napiga nae story za matukio ya mwaka 94,93 etc even though i was born 80s mwishoni.

Najua hata tukiishi pamoja tutakuwa tusikiliza nyimbo kama
" Tumsifu Mungu baba wote hata Mara moja kwa Juma"
mshamba_hachekwi
 
Utamuachia tuu papuch.Iliwai nitokea nime replot kwa mahakama nikakutana na mdada anatandam ya hatari kumuona tuu nikamnock akawa analeta zarau zarau nilipokuja kugundua kadataga na mimi alafu anakunywa beer kama mimi sikuangaika nilivyotoka kwa office nikaingia kwenye grocery iliyopo karibu na maeneo ya mahakamani nikakaa kwa njee napiga larger nikiwaza nitakavyo mla kibonge yule muda sio mrefu akatoka kwa office kabla hajaondoka akaniona naburudika na larger akapunga mkono jambo ambalo halikua la kawaida Kesho yake macho kama yote kila akija kwa chamber yetu nikamualika kwenye beer jioni siku iyoiyo nikamla kibonge ukawa ndio mchezo na huyo make wa mzee flan.Kawaida yangu wadada walionizidi miaka kumi siwaachi hadi kumi na tano nawala chura ndio ugonjwa yaan ntafanya chochote adi nimkule.
Duuh
 
Back
Top Bottom