DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,386 Reaction score 83,431 May 4, 2025 #21 Kama ni jicho la kulia ni jambo jema laweza kutokea Ila Mara nyingi jicho hucheza ukiwa na hofu , wasiwasi hali mtanziko wa mawazo n.k
Kama ni jicho la kulia ni jambo jema laweza kutokea Ila Mara nyingi jicho hucheza ukiwa na hofu , wasiwasi hali mtanziko wa mawazo n.k
M mpelu6 JF-Expert Member Joined Aug 21, 2021 Posts 331 Reaction score 293 May 8, 2025 #22 N DR HAYA LAND said: Kama ni jicho la kulia ni jambo jema laweza kutokea Ila Mara nyingi jicho hucheza ukiwa na hofu , wasiwasi hali mtanziko wa mawazo n.k Click to expand... Ni kweli kabisa jicho la kulia ni jambo jema litatokea lakin kama ni jicho la kushoto upande wa juu ni majanga
N DR HAYA LAND said: Kama ni jicho la kulia ni jambo jema laweza kutokea Ila Mara nyingi jicho hucheza ukiwa na hofu , wasiwasi hali mtanziko wa mawazo n.k Click to expand... Ni kweli kabisa jicho la kulia ni jambo jema litatokea lakin kama ni jicho la kushoto upande wa juu ni majanga