Changamoto kubwa ni ubaguzi tu..Nina rafiki angu Mama ake alikua mwarabu(mburushi) baba ake mshirazi..ndugu zao upande wa Mama ake wanawabagua sana wanawaita niggas na aliwahi omba kazi kampuni fulani ya waarabu kwakua tu anadamu ya ushirazi akatoswa..kuna mengi sana wanayokutana nao hawa wenzetu machotara