Machotara, hebu tupeane changamoto mlizowahi kutana nazo kwenye maisha yenu

Machotara, hebu tupeane changamoto mlizowahi kutana nazo kwenye maisha yenu

Changamoto kubwa ni ubaguzi tu..Nina rafiki angu Mama ake alikua mwarabu(mburushi) baba ake mshirazi..ndugu zao upande wa Mama ake wanawabagua sana wanawaita niggas na aliwahi omba kazi kampuni fulani ya waarabu kwakua tu anadamu ya ushirazi akatoswa..kuna mengi sana wanayokutana nao hawa wenzetu machotara
 
Kama mimi tu hapa watu wanajuaga Mzungu pure..nikipita huko mitaani full shobo ndio maana gari yangu nimepiga full tinted
 
Bibi wa Baba angu alikua chotara wa kireno na mhindi..kipindi alichokua anafanya kazi alipata tabu sana na kero ya ubaguzi..na hii ikaja kuathiri mababu zangu pia maana kuna babu yangu mmoja alinyimwa madaraka serikalini eti hawakua na imani nae
 
Back
Top Bottom