Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 402
Mwenye contacts za Dr Slaa na meneja wa kampeni wa Chadema awapelekee haraka hii habari ya mama mjamzito kulia kwenye daladala sababu ya uchungu na hasira ya kuambiwa na Kikwete eti wajawazito watanunuliwa Bajaji. Hii hoja itawaongezea Chadema kura kibao. Huu ujumbe usisitizwe kila kampeni ya Chadema kuanzia dakika hii hadi mwisho wa kampeni. Ujumbe ukishamfikia Dr. Slaa na Baregu na Chadema kwa ujumla tujulishwe jamvini. Ni hayo tu.
Nimekusoma mkuu. Hata mi machozi yamelenga machoni. Lakini nauliza, mbona ile makala yako ya mkutano wa moro na mama wa ndizi ulitumia kiswahili fasaha kuliko makala hii?
Nimekusoma mkuu. Hata mi machozi yamelenga machoni. Lakini nauliza, mbona ile makala yako ya mkutano wa moro na mama wa ndizi ulitumia kiswahili fasaha kuliko makala hii?
So sad...
Siyo kwamba bajaj zinaogopwa na wajawazito tu bali zilipoingia kuna watu waliapiza kwa mwenyezi Mungu kwamba kamwe hawatapanda bajaj lakini siku zinaposonga mbele watumiaji wa bajaj wanaongezeka, ni kwa sababu ni usafari wa haraka na gharama za chini.
.Kuna kipindi nilimuona Mchungaji Mtikila akitoka na kibajaji pale Wizara Ardhi akielekea Mahakama Kuu (I guess so kwani yeye ni nyumbani kwake huko)