Gosbertgoodluck
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 2,855
- 402
Watanzania sasa wameelimika kwa kiwango cha kujiridhisha kwamba shida na taabu zote wanazozipata zimesababishwa na uongozi mbaya wa serikali ya thithiem. Ninachofurahi ni namna wananchi wanavyoapiza kwamba mwaka huu ndiyo kiama cha thithiem. Shime wananchi wote waliojiandikisha, msihau siku ya kwenda kuiadabisha thithiem tareh 31 Oktoba 2010.