Elections 2010 Machozi ndani ya daladala

Elections 2010 Machozi ndani ya daladala

mama huyo alikuwa na lake jambo asisingizie ahadi ya usafiri wa bajaj kwa wajawazito.

mama yangu mdogo ni mjamzito na yule kijijini kuna siku nilimpigia simu swali lake la kwanza aliniuliza nasikia Rais katukumbuka wajawazito katika kampeni zake kwa ahadi ya bajaj. mama mdogo ana imani na Rais na kaahidi kumpa kura yake.
 
NAOMBA UNIJIBU:-

1. Kwanini CCM hawakununua bajaji 200 kupeleka wilayani kwa ajili ya kampeni badala yake tena wakanunua mikonga 200 ? kumbuka mkonga mmoja ni 80 milioni soi kama ccm wangeamua kununua bajaji basi kwenye kila mkonga moja wangepata bajaj 20 kwa bai ya 4ml kwa bajaji, kwahiyo kwenye mikonga 200 wangepata bajaji 4000 na naamini kila balozi angekuwa na yake?

2. Je serekali na ccm ni nani mwenye huwezo, huoni kuwa kama CCM wanaweza kununua mikonga 200, srekali inaweza kununua ambulance 2,000 = (200 x 10 ) na zaidi ikitaka?

vipaumbele ni muhimu katika kutoa maamuzi sidhani kama vipaumbele hivyo vinapangwa hapa JF.
 
vipaumbele ni muhimu katika kutoa maamuzi sidhani kama vipaumbele hivyo vinapangwa hapa JF.

Naona huna majibu, ila kiweza kupata hicho kipaumbele chochote naomba uniambie ni kipi na kilitekelezwa kwa hela zxa nani na kwa kiwango gani. Alamsiki!
 
Mwenye contacts za Dr Slaa na meneja wa kampeni wa Chadema awapelekee haraka hii habari ya mama mjamzito kulia kwenye daladala sababu ya uchungu na hasira ya kuambiwa na Kikwete eti wajawazito watanunuliwa Bajaji. Hii hoja itawaongezea Chadema kura kibao. Huu ujumbe usisitizwe kila kampeni ya Chadema kuanzia dakika hii hadi mwisho wa kampeni. Ujumbe ukishamfikia Dr. Slaa na Baregu na Chadema kwa ujumla tujulishwe jamvini. Ni hayo tu.

wazo zuri.
 
mama huyo alikuwa na lake jambo asisingizie ahadi ya usafiri wa bajaj kwa wajawazito.

mama yangu mdogo ni mjamzito na yule kijijini kuna siku nilimpigia simu swali lake la kwanza aliniuliza nasikia Rais katukumbuka wajawazito katika kampeni zake kwa ahadi ya bajaj. mama mdogo ana imani na Rais na kaahidi kumpa kura yake.

You are really PIPIJOJO, huyo mama yako alishapanda bajaji? anaijua kweli bajaji au anaisikia tu redioni. Kama anaijua alishawahi kuipanda akiwa mjamzito akasikia utamu wake?. Na yale mabilioni ya JK yaliishia wapi, siyo juu kwa juu. Pipijojo ulishabeba mimba wewe?. Kwanza ibebe, kama hujabeba huna la kutuambia. You are still a child you dont know what it means to be pregnant.
 
Hakyamungu huyu jk nna uchungu nae we acha tu,oct 31 nampiga chini hafai kabisa.
 
Asanteni kwa maoni yenu,hiki ni kisa cha UKWELI kimetokea mbele ya macho yangu,sina sababu ya kukulazimisha uamini na ndio mana hii story sijampa rafiki yangu(mwandishi wa habari)ili aitoa kwenye gazeti,mana wengi mngesema imetungwa.Nina story ya AHADI YA KUNUNLIWA MELI WAKAZI WA ZIWA VICTORIA njinsi walivyoipokea,je wajua kuwa ahadi hii itamnyima kikwete kura kanda ya ziwa?,mana baba mmoja aliyepoteza famila yake (mke na watoto 4) aliniambia "walikuwa wapi miaka 15 yote"?,"mpaka tuwape kura ndio wanunue meli"?,"hana ata huruma na aibu kusema hiyo ahadi wakati huu wa kuomba kura"?,"mi naona anataka KULA sio kura","kwanini wameua reli"?"au wanafikiri hatujui kama wana BOTI na mabasi ya abiria ya kufanya biashara hapa"?,ni stori ya kweli ya kusikitisha jiandae.
 
Bajaji sio usafiri mbaya kama barabara zikiwa safi na zenye rami,ila kwenye barabara za vijijini,zenye vumbi,mashimo,kupanda na kushuka,ukweli huyo mama atajifungulia njiani.
 
Hivi akina Synovate na Redet utafiti wao wanaufanyia wapi? Wanawahoji mafisadi, familia zao na wapambe wao tu? Au wanawahoji akina Shimbo, Saidi Mwema, Makamba, Tambwe Hiza, Malaria Sugu, Kibunango na nyumba ndogo zao?
 
Kimara na Mbezi ndiyo wamejaa hao hao wanaokuja na Dar Express! Wakati wa Christmas mnatuachiaGA jiji letu likiwa limetulia kama linavyotakiwa! Teh teh teh!!!!
 
Asanteni kwa maoni yenu,hiki ni kisa cha UKWELI kimetokea mbele ya macho yangu,sina sababu ya kukulazimisha uamini na ndio mana hii story sijampa rafiki yangu(mwandishi wa habari)ili aitoa kwenye gazeti,mana wengi mngesema imetungwa.Nina story ya AHADI YA KUNUNLIWA MELI WAKAZI WA ZIWA VICTORIA njinsi walivyoipokea,je wajua kuwa ahadi hii itamnyima kikwete kura kanda ya ziwa?,mana baba mmoja aliyepoteza famila yake (mke na watoto 4) aliniambia "walikuwa wapi miaka 15 yote"?,"mpaka tuwape kura ndio wanunue meli"?,"hana ata huruma na aibu kusema hiyo ahadi wakati huu wa kuomba kura"?,"mi naona anataka KULA sio kura","kwanini wameua reli"?"au wanafikiri hatujui kama wana BOTI na mabasi ya abiria ya kufanya biashara hapa"?,ni stori ya kweli ya kusikitisha jiandae.

Tunakuamini kaka. Si tumeambiwa watu wa Chadema huwa HAWADANGANYI! Teh teh teh :tonguez: :tonguez: :tonguez:
 
...nai-copy na kui-paste kwenye e-mail yangu na kuwatumia wooote kwenye contact yangu akiwemo Katibu Mkuu wa wizara yangu ya afya (mama nyoni)
 
Back
Top Bottom