Machozi ya Baba Askofu Mwamakula kwa Watawala wa Tanzania

Huwezi kushindana na dola popote duniani. Soma taarifa za Kenya namna mauaji ya viongozi waandamizi yanavyofanyika ndo utajua Tanzania ina demokrasia japo kidogo.
Hakuna dola iliyo sumu milele. Dola ya Roma ilikua na nguvu kuliko maelezo na ilipotea.
 
Angalia jinsi ulivyo MPUUZI nani kakudanganya Watanzania tuna kikomo cha kujadili mustakabali wa Nchi? Wapumbavu kama wewe ni tatizo kubwa sana Nchini. Eti uchaguzi umeisha? Kulikuwa na uchaguzi au uhuni na udhalimu?
Wewe ndiye mpuuzi. Unaandika JF itakusaidia nini? Kama kidume mwandikie barua Magu kumponga ili ajue uko serious. Mnajificha humu mkijifanya wasemaji na wajuaji lakini hadharani mnaogopa. Amua moja, KUSEMA HADHARANI au KUNYAMAZA.
 
Mmezuia uhuru wa habari, acheni tutumie JF kutoa yaliyo mioyoni mwetu. Kwa kifupi hampendwi na mnatawala kimabavu.
 
Reactions: BAK
Huwezi kuelewa ninachoandika kwa sababu wewe ni KILAZA unachojua ni upuuzi tu wa “uchaguzi umekwisha” “Hama Nchi” “kunywa simu” halafu unajiona una akili!!!
hahahahaha
Lengo langu limetimia kwa 100% ,nilitaka nionyeshe ufeki wako. Nina uhakika huu upumbavu unauandikaga wewe mwenyewe usiku usiku. Ndo maana usipoonekana humu na huu upuuzi wa mwanakondoo ameshinda nao unapotea.
 
Mwenye akili FINYU eti anadai lengo lake limetimia! Hahahahaha! Peleka upuuzi wako kwa wapuuzi wenzio mnaotaka Watanzania wanaopinga udikteta ama wahame nchi, wanywe sumu au wakae kimya. Hakuna mwenye hati miliki na Tanzania hivyo kudhani kwa vitisho vyake/vyao vitatunyamazisha Watanzania. Hutaki kusoma pita kimya kimya vinginevyo utaonyeshwa jinsi ulivyo na UFINYU wa akili. MPUUZI mkubwa!!
Lengo langu limetimia kwa 100% ,nilitaka nionyeshe ufeki wako. Nina uhakika huu upumbavu unauandikaga wewe mwenyewe usiku usiku. Ndo maana usipoonekana humu na huu upuuzi wa mwanakondoo ameshinda nao unapotea.
 
Sawa Mwanakondoo uliyeshinda. Tukufuate eti?
 
Hivi haya maandiko ya Mwamakula huwa yanakuwa published kwenye outlets zipi nyingine zaidi ya JF ili zisomwe na wengi na ziwafikie kwa urahisi viongozi waliokusudiwa?
 
Askofu BAKI huna muda wa toba wewe ni siasa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…