kianja kyamutwara JF-Expert Member Joined Nov 4, 2020 Posts 200 Reaction score 206 Feb 25, 2021 #141 Nimeona gazeti moja AFP limeandika habari hii nimesikitika sana kweli kaongeza maswali badala ya kuyamaliza
Nimeona gazeti moja AFP limeandika habari hii nimesikitika sana kweli kaongeza maswali badala ya kuyamaliza
NG'OTIMBEBEDZU JF-Expert Member Joined Aug 11, 2010 Posts 1,180 Reaction score 595 Feb 26, 2021 #142 Bumblebee1 said: Anafanya kazi wapi? Click to expand... Muhimbili National Hospital
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Feb 26, 2021 #143 Elungata said: Vaa barakoa. Nawa mara kwa mara. Epuka misongamano.. Click to expand... Kuna hao jamaa wawili wapo pembeni ya mheshimiwa wapo na pua zao wazi hawana hata habari...
Elungata said: Vaa barakoa. Nawa mara kwa mara. Epuka misongamano.. Click to expand... Kuna hao jamaa wawili wapo pembeni ya mheshimiwa wapo na pua zao wazi hawana hata habari...
Kingsmann JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 4,805 Reaction score 17,850 Mar 18, 2021 #144 Haya machozi yameenda bure.