Machozi ya furaha na mikumbatio Kherson bada ya huduma ya treni ya kuunga Kyev kurejeshwa

Machozi ya furaha na mikumbatio Kherson bada ya huduma ya treni ya kuunga Kyev kurejeshwa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Urusi walipopiga mabomu na kuteka mji wa Kherson, walisema wameukomboa, ila baada ya wazalendo wa Ukraine kutembeza kichapo cha kuwaondoa, wananchi wamepokea na furaha sana maana ndio ukombozi haswa..

Tears as first Kyiv train arrives in freed Kherson​

Tears as first Kyiv train arrives in freed KhersonClose

The rail link between Ukraine's capital and the recently liberated city of Kherson has been re-established, with the first train between the two rolling in on Saturday morning.

Families reunited on the platform, as crowds shouted "glory to Ukraine".

LISILOSEMWA:

Ukikomboa Hedaru hujakomboa Kilimanjaro.

Asilimia kubwa ya Kherson haijakombolewa, ni kamji kamoja ka pembezoni mwa Jimbo.

LISILOSEMWA:
Hali ni mbaya Jimboni DONBASS na LUHANSK . Waukraine wanazidi kurudi Nyuma .

JANA WAMEKUFA 30 ,

RUSSIA OFFENSIVE HUJO HAIJADILIWI.

Haha ha ha haaa
 
Hii comment umeandika kwa machungu makubwa sana.Lakini walau umekiri Kherson kama mji umekombolewa na siku zote sote tunafahamu uliokombolewa ni mji lakini muhimu sana kwa eneo hilo.Naona sasa zile blah blah za mwanzo kutuambia ule ulikuwa mtego tu wa Russia mmeziacha.
 
LISILOSEMWA:

Ukikomboa Hedaru hujakomboa Kilimanjaro.

Asilimia kubwa ya Kherson haijakombolewa, ni kamji kamoja ka pembezoni mwa Jimbo.

LISILOSEMWA:
Hali ni mbaya Jimboni DONBASS na LUHANSK . Waukraine wanazidi kurudi Nyuma .

JANA WAMEKUFA 30 ,

RUSSIA OFFENSIVE HUJO HAIJADILIWI.

Haha ha ha haaa
Mzee basi tufanye Russia wameshashinda
au nakosea
 
Mzee basi tufanye Russia wameshashinda
au nakosea

Tuwe wakweli hapa, je,ni asilimia ngapi ya jimbo la KHERSON ambalo lipo chini ya mamlaka ya jeshi la Ukraine, labda tuanzie hapo - hivi inaingia akili kwamba ukikalia asilimia 30% ya Mkoa au jiji ndio ijipongeze kwamba umeukomboa??

Ukweli wa mambo ni kwamba Jeshi la Ukraine pamoja na Rais Senselessky wasije wakajidanganya hapa kwamba wana uwezo wa kuukomboa mji wa KHERSON wote kikamilifu, badala yake ninacho kiona mimi watakuja kuvurumishwa ki-fang fang, na kutiwa kashikashi kutoka kwenye: Mizinga ya Warusi, precision missiles, kamikaze drones, helicopter gunships pamoja na SU-25 ground attack aircraft - Warusi watahakikisha wataitumia operarion ya KHERSON kutoa fundisho kwa NATO/US kwamba kumbe jeshi la Urusi likihamua kufanya kweli patachimbika, iwapo patakuwepo
wanajeshi wa Ukraine watakao nusurika kwenye impeding Russian counter offensive in KHERSON hao watajuta kuzaliwa na kuwaonea wivu waliofia vitani.
 
Back
Top Bottom