Machozi Yasiyofutika na Giza la Ghafla: Tangulia Kamanda Suez Daniel Maradufu

Na nyie Chadema mnafahamu fika kwamba mko wanted kwann mlale vichochoroni kiasi kile?
Halafu ukizingatia Kigoma ni municipal.
Sio kijijini....
Marehemu nae alikuwa bahiri mno kwasab nasikia Mahinyila amekiri, Marehemu alikutwa ndani na 428,000/=
Hiyo Lodge kwa vyovyote ina usalama mdogo..
Uongozi wa Chadema uli-rethink uhuru inaowapa watumishi wake kujichagulia lodge za bei chee kwa kisingizio cha saving...maana wanasigina taswira ya taasisi kwenye jamii.
Waige mfano wa Tundu Lissu
Baada ya lile shambulio dereva wa Lissu alipelekwa nae Belgium kwa ajiri ya mapumziko ya kisaikolojia japo wala hakuchubuka
 

Binadamu wengine mnashangaza mno ,kwa hiyo Heche kaenda kumwua dereva wake sio?
 
You call him innocent after your mission being accomplished to assassinate and eliminate him.

Shame on you.
 
You call him innocent after your mission being accomplished to assassinate and eliminate him.

Shame on you.
the innocent man is down, let chehe enjoy the amount of money he stole to a dead man.🐒

R.I.P Suez Daniel Maradufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…