dereva wa heche auawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Bashiri Abdallah: Nimepata taarifa kuwa 'Wasiojulikana' wapo hapa kwenye mazishi ya Suezi, hii ni Tarime, ukija hautoki

    Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Tarime Mjini, Ndugu Bashiri Abdallah amesema kuwa amepata taarifa kuwa 'Wasiojulikana' wapo hapa kwenye mazishi ya Suezi, hii ni Tarime, ukija hautoki Soma pia TANZIA - Dereva wa John Heche akutwa amefariki chumbani Kigoma Nimepata taarifa kwa usalama wa chama...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Polisi Kigoma: Tumekuta vidonge kwenye chumba cha dereva wa John Heche.Uchunguzi unaendelea zaidi

    Leo Julai 1, 2026 majira ya saa 10:00 asubuhi, Jeshi la Polisi Mkoa wa Kigoma limepokea taarifa kutoka kwa Ndugu Mrimi Zabron Mwita, mkazi wa Sirari na Katibu wa Mheshimiwa John Heche, kuwa walikwenda kwenye nyumba ya kulala wageni inayojulikana kwa jina la Ntahamba kwa lengo la kumwamsha...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Machozi Yasiyofutika na Giza la Ghafla: Tangulia Kamanda Suez Daniel Maradufu

    Simanzi nzito na majonzi yasiyo na kifani yametanda kote nchini kufuatia taarifa za kusikitisha za kifo cha ghafla cha Suez Daniel Maradufu. Marehemu, ambaye alikuwa dereva mwaminifu wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Bara) John Heche, amefariki dunia akiwa mkoani Kigoma kikazi. Habari hizi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi :Dereva wa Heche akutwa ameuawa

    DEREVA WA JOHN HECHE AKUTWA AMEKUFA DAMU ZIMETAPAKAA KWENYE SAKAFU. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, Mheshimiwa John Heche Suez amekutwa amefariki leo asubuhi Jumatano, Julai 01, 2026...
Back
Top Bottom