Mack D yuko wapi?

Mack D yuko wapi?

Leo nimeukumbuka wimbo wa ''jumba bovu''" nimemkumbuka mchizi wa Dar Skendo.

Kuna nyimbo zake kali zilizobamba kama "Baisho" akiwashirikisha unique sisters na wimbo "njoo cheza nami"

Yuko wapi siku hizi?

Anapiga ishu gani?
Muziki ameacha???
mkuu werason, hivi Adjan Seseli na Eboa Lotin wuko wapi?
 
Jana nilikuwa napita nyimbo kadhaa za kwakee..

Mja wakoo...

Kitamboo.. nimeburudika..


Big up popote ulipo, Mac D.


Salute!!!
 
Back
Top Bottom