Baraka Roman
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 692
- 262
R.I.P mkongwe
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah...! Nani kadhamini msiba wake...?
Dah...! Nani kadhamini msiba wake...?
Halafu jitu jinga kama Le Mutuz linakuja kutetea wauza unga na punda wao hapa.1
Namkubuka sana jamaa kwa sauti tamu,hasa kwenye kiitikio ktk "Ndani ya party" ya Solo thang....Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi
sinilikuwa na muona pale ilala spended kuna kibar uchwara pale tunakunywa viserengeti...loh kifo kifoo weeeMsanii na Producer wa muziki wa
Bongo Fleva na Reggae Mack Malik
Simba (Mack 2B) amefariki dunia.
Kaka wa marehemu Msafiri
Masharubu amesema kuwa alikuwa
akisumbuliwa na tatizo la kuvimba
Kwa miguu na amefia nyumbani kwao
Yombo.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU
MAHALI PEMA PEPONI, AMEN!
Mhhhh, mahali pema peponi!!!!!!!!!!!!!!? jamani siyo kila mtu anaenda peponi kuna qualification zake ambazo Mungu ameziweka
alitoa wimbo gani? au yule alikua member wa wateule?
Nyorosha Kidogo lugha ndugu yangu...maarufu na si maharufumsanii maharufu kipind cha nyuma kidogo amefarik dunia .Hizi habari nimepata kutoka watu wa karibu na yeye
ni maharufu kwa jina la MACK 2B
ukiondoa 'rahisi' kuna wale sijui mawingu sijui nini...si unawajua?Sijui "rahisi" ameskia..!?