Mack Malick Simba(Mack 2b),afariki dunia

Huyu jamaa alitengwaga na Wateule crew kutokana na madawa ya kulevya. Kila nyimbo ikipigwa na hiyo crew anasema anaimbwa yeye.
 
i remember the guy ,nilikuwa namuona maskani flani kinondoni shamba kitambo kile napiga shule kino,,alikuwa teja.
 
Dah! kweli unga noma, hata hivyo Mungu amlaze mahali panapostahili Mack 2B Simba!
 
Kumbe alikuwa "mteja"..! kwa heri... taifa linateketezwa hili.
 
Dah...! Nani kadhamini msiba wake...?

Umeambiwa umedhaminiwa? yeye kama kijana mtanzania na msanii atazikwa na marafiki,ndugu na jamaa wengine. RIP Mac na niseme napinga vikali matumizi ya dawa za kulevya.
 
'...jamaa nlikuwa namkubali sana kipindi yuko WATEULE he used to do ragga dancehall and it was bomb asee kwa kipindi kile,mara akawa producer pale SOUND CRAFTER akiwa na jamaa mmoja wa kundi la B.D.P (Big Dogg Posse) anaitwa DREZZY CHIEF nae alikuwa ni mtu wa ragga sana pia,nikaskia anakula dawa akiwa yuko SOUND CRAFTER.................mara ya mwisho nilikuwa nae magomeni was in the morning kwenye cafe moja hivi alikuja kupata breakfast akaniambia yuko kwenye studio ya ALI BAUCHA known as BAUCHA'Z RECORDZ tukapeana contact nika-kick,toka hapo hatukuonana tena but i hope we will be together soon or later brother MUCH RESPEKT 'n' REST IN PEACE BLOOD,MISYU'
 
Halafu jitu jinga kama Le Mutuz linakuja kutetea wauza unga na punda wao hapa.1

kwani le mutuz ni mtu wa kumsikiliza yule. madawa yameua vijana wengi sana na wengne kuharibiwa future zao
 
Namkubuka sana jamaa kwa sauti tamu,hasa kwenye kiitikio ktk "Ndani ya party" ya Solo thang....Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi

Mhhhh, mahali pema peponi!!!!!!!!!!!!!!? jamani siyo kila mtu anaenda peponi kuna qualification zake ambazo Mungu ameziweka
 
sinilikuwa na muona pale ilala spended kuna kibar uchwara pale tunakunywa viserengeti...loh kifo kifoo weee
 
anazikwa leo yombo dovya ukifika tandika unapanda gari za yombo dovya au buza
 
anazikwa leo yombo dovya ukifika tandika unapanda gari za yombo dovya au buza unashuka abiola
 
Alikuwa member wa kundi la wateule na produza aliyewahi kufanya kazi soundcrafter kwa enrico

Mwaka jana alitoa wimbo uliokuwa nominated kwenye tunzo za kili
 
msanii maharufu kipind cha nyuma kidogo amefarik dunia .Hizi habari nimepata kutoka watu wa karibu na yeye
ni maharufu kwa jina la MACK 2B
Nyorosha Kidogo lugha ndugu yangu...maarufu na si maharufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…