Macron ahimiza utulivu baada ya Ufaransa kukumbwa na vurugu

Macron ahimiza utulivu baada ya Ufaransa kukumbwa na vurugu

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
260
Reaction score
607
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekemea vikali kile alichokiita ghasia "zisizo na kikomo" zilizozuka wakati wa maandamano dhidi ya gharama ya maisha kote nchini humo mwishoni mwa wiki.

Takriban waandamanaji 550,000 wameingia mitaani katika maandamano ambayo kwa kiasi kikubwa yalikuwa ya amani yakihusisha kupinga kupanda kwa bei ya mafuta, gharama ya maisha, na kuzorota kwa huduma za umma, ikiwemo shule.
Katika hotuba kwa taifa Jumapili usiku akiwa Ikulu ya Elysée, Macron aliapa kuwa serikali ya ufaransa itawakabili vilivyo "wachochezi kutoka makundi ya msimamo mkali wa mrengo wa kushoto, waliojumuika na wahalifu wengi," ambao "walizua vurugu zisizo na kikomo mijini."

Hata hivyo, hakufikia hatua ya kutangaza hatua kali, kama vile hali ya hatari au amri ya kutotoka nje. "Jana, mamia ya maelfu ya raia wenzetu waliandamana kwa lengo la kutoa madai ya msingi. Hatupaswi kamwe kuwachanganya na wale walioharibu mali na kupora.

Waandamanaji hawa walielezea wasiwasi wao kuhusu gharama za maisha na bei ya mafuta, mambo yanayotokana na mgogoro ulioanza katika Ghuba ya Uajemi—mgogoro ambao Ufaransa haikushiriki, lakini ambao tunapata madhara yake. Ninaelewa vyema wasiwasi wao

Chanzo Dw Swahili

Macron.webp

​
 
Vipi kuhusu haki ya kuwalinda waandamanaji😁😆😀
IRGC wanachekea chooni baada ya kujijua wao ndio waliokua wanafanya EUROPE maisha yawe rahisi,..........wamekua superpower by default yaani baada ya kuifunga Hormuz😆😆😆
 
Netanyahu aliwaonya ufaransa baada ya kuitambua Palestina na kuanza kuikosoa Israel kwa opereshen zake pale gaza.

Sasa hivi ndio wananza kumuelewa Netanyahu kama waislamu siyo watu
 
Netanyahu aliwaonya ufaransa baada ya kuitambua Palestina na kuanza kuikosoa Israel kwa opereshen zake pale gaza.

Sasa hivi ndio wananza kumuelewa Netanyahu kama waislamu siyo watu
Wakiristo wa jf mumetekwa akili na Letanyahu, akili zenu mumezipeleka sokoni
 
Netanyahu aliwaonya ufaransa baada ya kuitambua Palestina na kuanza kuikosoa Israel kwa opereshen zake pale gaza.

Sasa hivi ndio wananza kumuelewa Netanyahu kama waislamu siyo watu
Kwa hio ufaransa na EUROPE maisha yamekua magumu sababu wameitambua Palestine kua nchi?
Palestine hii ambayo U.N wanaitambua kua nchi?😆😀
Kwani lazima ukiwa Mlokole uwe LIJINGA flani hivi?
 
Kwa hio ufaransa na EUROPE maisha yamekua magumu sababu wameitambua Palestine kua nchi?
Palestine hii ambayo U.N wanaitambua kua nchi?😆😀
Kwani lazima ukiwa Mlokole uwe LIJINGA flani hivi?
waislamu mna upumbavu wenu mkubwa sana.

Mnaenda kuharibu nchi za watu kwa ninj msibaki huko kwenye nchi zenu Afghanstan au yemen?

Yani wanaandamanaji wanaandamna kudai maisha yamekuwa magumu huku wamebeba bendera za gaza?

Ndio maana mtu kama Netanyahu anawapelekea moto tu.

Huyo Macron alijifanya kuwabeba waislamu sasa wanamuonesha ranhi zao halisi.
 
Macron aache ujinga wa kucheka na hao kima. Hao wanatakiwa wabaki kwenye nchi zao Yemn Afghanstan au kama vipi waende oman au Saudia.

We ngoja chaguzi za Us na Israel ziishe tuanze kuwapelekea moto hao wavaa kobaz
 
Hivi unajua kiongozi wa mapinduzi ya KIISLAM,alikua uhamishoni UFARANSA kabla ya kurudi kutengeneza IRGC?😄😁😆
IRGC ndio imefanya dunia nzima mafuta yapande bei,Superpower U.S yupo wapi au hii kwenye agano la kale haijaandikwa😁😄😆😁
Ukiwa mlokole lazima uwe jitu flani hivi LIPUMBAVU😆🤣🤣
 
Si ndio maana Mossad wamemplekea maandamano kwake yenye bendera za gaza ili ajionee ujinga wa hiyo miabudu mudi.?

Alafu inakuwaje miislamu mingi hukuti ikienda Yemen au Afghanstan badala yake inaenda kula bata kwa makafiri ikifika huko inaanza kuleta habari za mabikra 72?

alafu superpower ni nani? Iran?
Subiri Netanyahu na Trump wamalize chaguzi uone wanarudi kumalizia kazi
 
Na kwanini migalatia inakuja kujazana huku Zanzibar mingine inalala kwenye mapaa ya nyumba Za Michenzani , utafikiri kumbi kumbi?
 
Na kwanini migalatia inakuja kujazana huku Zanzibar mingine inalala kwenye mapaa ya nyumba Za Michenzani , utafikiri kumbi
Kumbe we ni mzanzibar?
Ndio maana akili yako fupi kama ua sa100
 
Macron anamlaumu Trump, Trump naye anailaumu Iran, EU na Ukraine wanailaumu Russia, Yani Europe wamekuwa watu wa kulalamikia Kila pande, Europe wanakubali na kukataa baadhi ya vitu Kwa wakati mmoja, wakati Global event moja Tu inaweza kuathiri Kila mtu haijalishi ulishiriki au lah...
 
Kumbe we ni mzanzibar?
Ndio maana akili yako fupi kama ua sa100

Na kwanini migalatia inakuja kujazana huku Zanzibar mingine inalala kwenye mapaa ya nyumba Za Michenzani , utafikiri kumbi kumbi
 
Netanyahu aliwaonya ufaransa baada ya kuitambua Palestina na kuanza kuikosoa Israel kwa opereshen zake pale gaza.

Sasa hivi ndio wananza kumuelewa Netanyahu kama waislamu siyo watu
Wewe ni mjinga, hata kilichoandikwa huelewi watu wanalalamikia gharama za maisha ziko juu kutokana na vita ambazo hawakushiriki, wewe unaleta mambo ya netanyahu na Palestine.

Na maandamano kama hayo hayapo Tu ufaransa, yapo nchi kadhaa mpaka huko colombia
 
Back
Top Bottom