Macron akiri demokrasia yaelekea kushindwa duniani.

Mkuu habari hii tamu lakini naona umeandika harakaharaka na kuileta. Ongeza nyama, eleza kasema wapi ukiweza weka na chanzo cha habari husika
 
Original post ipo wapi mkuu? Citation? Au yote umetoa kichwani kwako?
 
Kimagharibi demokrasia Ni
_Kuruhusu ndoa za jinsia moja i'la kukataza ndoa za mitala polygamism.
_Pia Ni Uhuru wa kuongea vyovyote i'la usipingane nao kwa vyovyote kwenye maslahi yao.
_Ni kuingilia Mambo yenu ya ndani Kama taifa na muwe wapole.
_ Ni kuunga mkono maandamano na migogoro ya kimataifa wakihamasisha waendelee kwani wao ( wamagharibi) they are with them.
 
Usoshalisti umefeli na ubepari umefali, kila mtu arudi kwenye utawala wake wa kimila
 
Kama demokrasia inaleta machafuko na ukandamizaji basi udikteta utakuwa jehanamu kabisa.
Demokrasia ikifa kote duniani itakuwa msiba sana maana ulimwengu utarudi zama giza nene, badala ya kushangilia kama kibwengo kufa kwa Demokrasia ulitakiwa ukae chini na kulia kabisa.
 
Takbiiir Takbirr Takbir Allahu akbar..
Soon watagundua njia pekee ya kuongoza umma ni kupitia Quran na Sharia
 
Kuna haja ya kuanzisha mfumo mpya wa utawala
Nao pia hauta kubalika na jamii zote pia hauta faa kwa jamii zote, ni ngumu kwa dunia nzima kuishi ndani ya chumba kimoja cha mfumo wa kiutawala hata wanyama porini hawa ishi hivyo.
 
Mkuu habari hii tamu lakini naona umeandika harakaharaka na kuileta. Ongeza nyama, eleza kasema wapi ukiweza weka na chanzo cha habari husika
Kila kitu kipo safi.Usiwe mvivu kusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…