cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Mleta mada angetupa angalau mbadala wa hiyo demokrasia inayokufa!Kama demokrasia inaleta machafuko na ukandamizaji basi udikteta utakuwa jehanamu kabisa.
Demokrasia ikifa kote duniani itakuwa msiba sana maana ulimwengu utarudi zama giza nene, badala ya kushangilia kama kibwengo kufa kwa Demokrasia ulitakiwa ukae chini na kulia kabisa.