Dong Jin
JF-Expert Member
- Jun 4, 2018
- 968
- 2,034
Majina ya wanaowania tuzo za Africa Entertainment Awards (AEAUSA) zinazotolewa huko marekani yimetoka. Moja kati ya vipengele katika tuzo hizo ni kipengele cha BEST NEW ARTIST ambapo to my great suprise nimekutana na jina la MACVOICE
Macvoice ana takiribani mwezi na siku kadhaa toka atambulishwe rasmi kama msanii mpya chini ya lebel ya NLM inayomilikiwa na Rayvanny.
Lakini cha kushangaza dogo keshaingia kwenye kinyang'anyiro cha tuzo za kimataifa wakati kaka zake wa kule kwingine (Ibraah -KMW na Tommy flavour -Kings Music) hawajawahi hata kutajwa kwenye hipipo za hapo uganda tu...
Hii inatoa somo gani kwa hawa wamiliki wa lebel hizi mbili tunazoaminishwa kuwa ni kubwa kuwahi kutokea Afrika Mashariki?