Macvoice katika tuzo za kimataifa AEAUSA, mbona Ibraah na Tommy flavour siwaoni?

AEAUSA na AFRIMA siyo TUZO.

Ni upumbavu tu ulioanzishwa na Wanigeria wanaoishi USA.

Hazina hadhi yeyote.

AEAUSA hazina tofauti na TUZO za Hbaba.

Tuzo za Music za sasa zenye hadhi ni Channel O, MTV Base, BET ( Siyo viewers choice kama ya Rayvanny ).

Na hapa kwetu zilikuwa Tuzo zz Kili.

Huko kwingine ni upumbavu t
Ulivyoweka tu siyo kama viewers choice hapo nikatambua kaka hupendi wasafi kiujumla tu...
 
Mi unanfurahisha tu unavyojitangaza humu afu dizaini kama soko limekugomea... Babu sisi humu hatuli kota, katafute chaka jingine
Kajisafishe kwamza ndio uje kutafuta MIJEGEJE ya Mwanamume.
 
Majina ya wanaowania tuzo za Africa Entertainment Awards (AEAUSA) zinazotolewa huko marekani yimetoka. Moja kati ya vipengele katika tuzo hizo ni kipengele cha BEST NEW ARTIST ambapo to my great suprise nimekutana na jina la MACVOICE

Macvoice ana takiribani mwezi na siku kadhaa toka atambulishwe rasmi kama msanii mpya chini ya lebel ya NLM inayomilikiwa na Rayvanny.

Lakini cha kushangaza dogo keshaingia kwenye kinyang'anyiro cha tuzo za kimataifa wakati kaka zake wa kule kwingine (Ibraah -KMW na Tommy flavour -Kings Music) hawajawahi hata kutajwa kwenye hipipo za hapo uganda tu...

Hii inatoa somo gani kwa hawa wamiliki wa lebel hizi mbili tunazoaminishwa kuwa ni kubwa kuwahi kutokea Afrika Mashariki?
Sometimes connection inakusaidia kukubeba, ila kwangu mimi msanii bora chipukizi kwa mwaka huu ni Lord Music.
 
AEAUSA na AFRIMA siyo TUZO.

Ni upumbavu tu ulioanzishwa na Wanigeria wanaoishi USA.

Hazina hadhi yeyote.

AEAUSA hazina tofauti na TUZO za Hbaba.

Tuzo za Music za sasa zenye hadhi ni Channel O, MTV Base, BET ( Siyo viewers choice kama ya Rayvanny ).

Na hapa kwetu zilikuwa Tuzo zz Kili.

Huko kwingine ni upumbavu tu
Naam!
 
Wawili tu wametoa majibu na bado hayajaridhisha ila wengine full kuchambana 🙌🙌
 
Sometimes connection inakusaidia kukubeba, ila kwangu mimi msanii bora chipukizi kwa mwaka huu ni Lord Music.
Yes lakini unatambua kuwa hata uwe bora kiasi gani bila connection huezi toboa?

Tuachane na lody music ambaye sijaijua vizuri nguvu ya management yake, vp hawa wa kwa konde na kiba? Nao tatizo ni koneksheni au ni nin?
 
Ndo maana tunashangaa inakuwaje wasanii toka lebo tunazoaminishwa ni kubwa kuliko NLM ya rayvanny inakuwaje hawapo ktk kategori hata moja?

Mac Voice tracks zake zimesukumwa sokoni aggressively, na ndivyo Wapopo wanavyofanya pia. Ukiamua kumiliki record label pride iwe ni artist/artists wako kufanya vizuri, sasa wengine wana artists miaka ie:Abdul Kiba, lakini wapo pale alimradi paonekane kuna label na lengo I think ni mwenye label kujipaisha mwenyewe.

Kutumia muda na resources kwa ajili ya kumsogeza mbele artist ni wachache wenye moyo huo kwa dhati.
Haka katoto Mac Voice in two years time katakuwa kanawagaragaza baadhi ya wamiliki labels.
 
Sometimes connection inakusaidia kukubeba, ila kwangu mimi msanii bora chipukizi kwa mwaka huu ni Lord Music.
You said it perfectly well, 'kwako' ndiyo unaona hivyo.
Kwangu EP ya Mac Voice ilivyofanya wonders kwenye digital platforms naamini hakuna msanii bora chipukizi kama yeye this time around, Kenya huko invitations zimeshakuwa kibao and he has barely one month and some days toka atambulishwe rasmi kama Mac Voice.
Showbiz inahitaji sana marketing strategies na si kuimba tu na kurukaruka stejini.
 
Dah! kiba kama zuchu tu, wote wapo kwny kategori mbilimbili... Naamini kiba anahitaji branding zaidi ili afike level ya rayvanny kimataifa kuliko kukomaa na label
Hizo tuzo za Wanaijeria wabeba mabox USA..hazina maana yoyote..wengi wenu hamjasafiri mkiona kitu nje ya nchi mnafikiri Cha maana..hata BET familia nyingi za kizungu hawatazami ni hivyo tu..
 
AEAUSA na AFRIMA siyo TUZO.

Ni upumbavu tu ulioanzishwa na Wanigeria wanaoishi USA.

Hazina hadhi yeyote.

AEAUSA hazina tofauti na TUZO za Hbaba.

Tuzo za Music za sasa zenye hadhi ni Channel O, MTV Base, BET ( Siyo viewers choice kama ya Rayvanny ).

Na hapa kwetu zilikuwa Tuzo zz Kili.

Huko kwingine ni upumbavu t
Ni kweli ila akipata ataweka kwenye CV yake na kuanzia hapo atajiita "Award winning artist" brand yake inakua maisha yanaendelea.
 
Hizo tuzo za Wanaijeria wabeba mabox USA..hazina maana yoyote..wengi wenu hamjasafiri mkiona kitu nje ya nchi mnafikiri Cha maana..hata BET familia nyingi za kizungu hawatazami ni hivyo tu..
we hebu punguza kutukuza watu weupe wewe, BET ni black entertainment awards sasa unataka wazungu waziangalie hili iweje? Kwako mzungu ndiyo reference point ya kitu kizuri au ubora? Kwani kuna shida gani wabeba mabox wa kinijeria wakianzisha tuzo kwa kufuata misingi, haki, taratibu na kanuni kuwapata washindi? Au kwako kilicho bora ni kile kinachofanywa na tajiri na si masikini kama wewe? Tubadilike jaman ukiona msanii wako hayupo vijisababu visivyo na mashiko tuachane navyo.
 
Sizitaki mbichi hizi, stupid excuses wakati wahenga walinena asiyekubali kushindwa si mshindani.
 
Ndiyo hivyo tuzo zimeanzishwa na tunazikubali subir msimu ujao wasanii wako wanaweza kutajwa.
 
Mi nakubaliana na tuzo through and through, ni kama trophies au medals kwenye sports.
Hata kuwa nominated tu ni achievement, it's like being in a premier league. Mtu ambaye haja qualify kushiriki ligi anatoa wapi audacity ya kumcheka aliye qualify hata kama hajashinda trophy, to be nominated is a great achievement and to win the award is a recognition of someone's success.
 
Mac Voice tracks zake zimesukumwa sokoni aggressively, na ndivyo Wapopo wanavyofanya pia. Ukiamua kumiliki record label pride iwe ni artist/artists wako kufanya vizuri, sasa wengine wana artists miaka ie:Abdul Kiba, lakini wapo pale alimradi paonekane kuna label na lengo I think ni mwenye label kujipaisha mwenyewe.

Kutumia muda na resources kwa ajili ya kumsogeza mbele artist ni wachache wenye moyo huo kwa dhati.
Haka katoto Mac Voice in two years time katakuwa kanawagaragaza baadhi ya wamiliki labels.
Mbona umemtaja abdu kiba tu umemshau lavalava na queen darlin au hao wapika chai tu pale WCB?
 
Tanzanian music needs pure promo and super branding Ili ujulikane nje

Never expect msanii kutoka kwa kiba awe nominated hata kwenye Tuzo za mtaani kwao

Ni ukweli mchungu ambao wengi hawapendi kuusikia
 
Mi nakubaliana na tuzo through and through, ni kama trophies au medals kwenye sports.
Hata kuwa nominated tu ni achievement, it's like being in a premier league. Mtu ambaye haja qualify kushiriki ligi anatoa wapi audacity ya kumcheka aliye qualify hata kama hajashinda trophy, to be nominated is a great achievement and to win the award is a recognition of someone's success.
safi kabisa, uko sahihi
 
  • Thanks
Reactions: Qwy
Mbona umemtaja abdu kiba tu umemshau lavalava na queen darlin au hao wapika chai tu pale WCB?
Labda Queen though she by far bigger than Abdul Kiba lakini Lavalava artist ambaye yuko ndani ya top 10 most successful artist in Tz kwa wakati huu na si wa zamani, he is doing great.
Issue ni mtu abajitutumua kuanzisha label lakini anaitumia label hiyo kujiboost yeye na anaowasign wanakuwa kama ngazi tu, kuna artist mwingine unaona kabisa nguvu na strategies anazoweka ili alionao wafanikiwe, kwa Kiingereza wanaita 'big heart' moyo ambao ni wachache wenye nao.
Queen Darleen is not talented, huo ndiyo ukweli.
 
Back
Top Bottom