Mad max: Naipenda sana hii movie

Mad max: Naipenda sana hii movie

wale wote ni survivals wa vita kuu ya nyuklia. dunia imekuwa jangwa na wanaishi kwa magenge na kuporana. yule immortan joe akawa kama anajifanya messiah na wale war boys wakawa wakimsujudu wakiamini anafunguo za kuzimu/peponi (valhalla). pia alijimilikisha wanawake warembo kama wakeze.
yule furiosa alikuwa na plan ya kuwatorosha hao wanaweke kwenda sehemu aliyowahi ishi utotoni. hardy ye alikamatwa pale mwanzoni na kufanywa blood bag kwa yule war boy mgonjwa. jamaa alikuwa blood group O. pia kullikuwa na magenge mengine kama wale bikers wa kwenye korongo, bullet farm, gastown na wale wana gari kama nungunungu.
Umesahau pia suala la uhaba wa maji: na kama pengine unavyofahamu, imaginations za watu wengi ni kuwa kuna uwezekano wa vita kuu ya dunia itakayosababishwa na uhaba wa maji.
 
Umesahau pia suala la uhaba wa maji: na kama pengine unavyofahamu, imaginations za watu wengi ni kuwa kuna uwezekano wa vita kuu ya dunia itakayosababishwa na uhaba wa maji.
kweli. maji ndiyo silaha alikuwa anatumia joe kucontrol watu. swala la vita ya maji naona haliko mbali. nikicheki ishu ya Misri na Nile. kuna documentary moja inaitwa water: blue gold inaelezea sana tatizo la maji.
 
Mad Max zote so far zimekuwa na simulizi nzuri zikiambatana na action za viwango vya juu! Toleo la kwanza lilitoka mwaka 1979, bahati mbaya halikuweza kufika Tanzania hadi mwaka 1988 katika mfumo wa Betamax.
 
wale wote ni survivals wa vita kuu ya nyuklia. dunia imekuwa jangwa na wanaishi kwa magenge na kuporana. yule immortan joe akawa kama anajifanya messiah na wale war boys wakawa wakimsujudu wakiamini anafunguo za kuzimu/peponi (valhalla). pia alijimilikisha wanawake warembo kama wakeze.
yule furiosa alikuwa na plan ya kuwatorosha hao wanaweke kwenda sehemu aliyowahi ishi utotoni. hardy ye alikamatwa pale mwanzoni na kufanywa blood bag kwa yule war boy mgonjwa. jamaa alikuwa blood group O. pia kullikuwa na magenge mengine kama wale bikers wa kwenye korongo, bullet farm, gastown na wale wana gari kama nungunungu.
Ngoja Nitaangalia kesho ofsni huku nasoma maelezo yako maybe ntaelewa nikshindwa naangalia last Knights [emoji6] [emoji14] [emoji14]
 
My best movie of 2015.....what a piece of art!!
jamaa wakauzu sana mule. wanafanya blood tranfusion kutoka kwa mtu aliye hai! line nnayoipenda mle ni jamaa anayesema " am the scales of justice, the conductor of the choir of death". hapo kapofuka macho lakini hajali.
 
My wives my property
You stole my wives .

Hahahhahahahhaah
That's my favorite line in that movie .
I have to say best movie 2015 for me -🙂
I live, i die i live again
Napenda sana hii quote, kwenye hiyo movie
 
Back
Top Bottom