Mad max: Naipenda sana hii movie

Umesahau pia suala la uhaba wa maji: na kama pengine unavyofahamu, imaginations za watu wengi ni kuwa kuna uwezekano wa vita kuu ya dunia itakayosababishwa na uhaba wa maji.
 
Umesahau pia suala la uhaba wa maji: na kama pengine unavyofahamu, imaginations za watu wengi ni kuwa kuna uwezekano wa vita kuu ya dunia itakayosababishwa na uhaba wa maji.
kweli. maji ndiyo silaha alikuwa anatumia joe kucontrol watu. swala la vita ya maji naona haliko mbali. nikicheki ishu ya Misri na Nile. kuna documentary moja inaitwa water: blue gold inaelezea sana tatizo la maji.
 
Mad Max zote so far zimekuwa na simulizi nzuri zikiambatana na action za viwango vya juu! Toleo la kwanza lilitoka mwaka 1979, bahati mbaya halikuweza kufika Tanzania hadi mwaka 1988 katika mfumo wa Betamax.
 
Ngoja Nitaangalia kesho ofsni huku nasoma maelezo yako maybe ntaelewa nikshindwa naangalia last Knights [emoji6] [emoji14] [emoji14]
 
My best movie of 2015.....what a piece of art!!
jamaa wakauzu sana mule. wanafanya blood tranfusion kutoka kwa mtu aliye hai! line nnayoipenda mle ni jamaa anayesema " am the scales of justice, the conductor of the choir of death". hapo kapofuka macho lakini hajali.
 
My wives my property
You stole my wives .

Hahahhahahahhaah
That's my favorite line in that movie .
I have to say best movie 2015 for me -🙂
I live, i die i live again
Napenda sana hii quote, kwenye hiyo movie
 
movie enyewe hats cjawahi kuiskia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…