Mara ya kwanza siku penda pia nilikuwa nalalamika naangalia picha la mapepo maana watu wale zile rangi kam wamejipaka chaki
Kupigana hao wanakanyagana kisa maji ni wadhoofu nikaona kama yule ndiye shetani sasa
Nikaelezewa nilipo angalia mara ya pili niliipenda