Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

Wakuu nina mpango wa kununua "SUBARU FORESTER 2.0XS'', Hela ipo shida nataka ya mileage ndogo walau, Imani yangu inanituma kuwa yeneye mileage ndogo itadumu zaidi. JE, NI KWELI??

Lakini pia, Ni website gani nzuri na yenye bei nafuu kwa kuagizia magari?

Nitaomba msaa wenu wa ushauri.

AHSANTENI
 

Mimi niliagiza ikiwa na 61,000 km ,Iko vizuri

Ina eco mode natumia hadi 16km/l (inasoma kwenye dashboard)

Ukitaka yenye km chache jiandae kulipia Hela kubwa zaidi ya average price ( > $6000)

Pili usinunue Yard za tz ,wanashusha km
 

Cha mwisho Japo sio lazima sana .Chukua nyeusi inanoga sana [emoji16][emoji16]
 
Nje ya mada
Saa ya gharama ya juu ninayoweza kununua ni ya buku 3.
 

I’m not affiliated with this website.Angalia na hii nimeikuta kwenye site ya SBImotor
 
Kluger model 2005 to 2007 vs Subaru forester 2008 to 2011
Sijui ipi wakuu itanifaaa kichwa kinazunguka sielew kabisa.

Lakin naitaj gar yenye nguvu,comfortable barabaran ,rough road iwe vzur plus mantainance spare ziwepo
 
Kluger model 2005 to 2007 vs Subaru forester 2008 to 2011
Sijui ipi wakuu itanifaaa kichwa kinazunguka sielew kabisa.

Lakin naitaj gar yenye nguvu,comfortable barabaran ,rough road iwe vzur plus mantainance spare ziwepo
Mimi nna uzoefu na zote!!

Subaru nmetumia ya 2008 Forester, iko vzuri sana na confortability iko juu kuliko Kluger, na nmeitumia kwa root za Dar to Moshi kila mwisho wa mwaka!! 14KM/L

Ila kwa kazi chukua kluger maana utapata unafuu kwenye spares na service!

Forester usipoweka Synthetic jombaa, na filter original utaona wajapani wanakuonea!![emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kwanini?
 
Tofauti ya Subaru Forester SH5 na SHJ ni ipi wakuu. Ipi ni bora zaidi.
 
Wakuu naomba kuuliza fuel consumption ya Subaru Forester SJ5 ya 2013 ikoje?

Napata average ya 7km/l kwenye daily routes in aevrage full tank inaenda 400km. Hii ni kawaida au kuna shida mahali? Nikiwa highway ndo atleast napata mpk 10-12km/l. Wenye uzoefu naomba ideas
 
Wewe unaijua Subaru haswaa
 
Same here mi nina SH5 2008. Huwa naona wadau wakisema wanafika 10km/l sielewi kabisa mi nikikaza sana hata kuibia rpm ndo inafika 8km/l.
Na nilinunua ikiwa na 70k kilometres.
 
GUYS HABARI YENU.. NAUZA GARI AINA MBILI SUBARU XT NO "E" PAMOJA NA TOYOTA RACTIS NO "E" HAZINA VIPENGELE NICHEK 0744566124 NIPO DSM
 
Ni all wheel drive?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…