Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

Subaru xt bei mil 21 imported from Japan imetembea km 60k na ina mwaka na nusu tangu inunuliwe.. n ya 2008 na cc yake ni 1490.. colour ni black... Iyo ractis ni mil 14 yenyewe inatumia mfumo wa gesi ila ukitaka niweke bila gas nakubadilishia mfumo
 
Kaka hapo kwenye Red unaweza kuonja mauti au unakufa?
Huyu mburura tu kwani wanao endesha Toyota hawafi? Hata tunao panda mabus tunakufa tu. Subaru ni gari ya wanajua magari. Iko stable, ina Changanya haraka, iko conformable, ina option nyingi za uendeshaji na haichoshi ukiwa kwenye uskani.
 
Karibuni telegram group la Mazda CX-5 ili upate maarifa na uelewa juu kutoka Kwa wamiliki wa hapa bongo
 
Karibuni telegram group la Mazda CX-5 ili upate maarifa na uelewa juu kutoka Kwa wamiliki wa hapa bongo
We nawe unazingua ungechukua hata highlights nzuri kadhaa kwenye hilo group lenu then uje uanzishe uzi wa hiyo Mazda hapa unatutoa kwenye reli.
 
Ghatama kuagiza gar subar forester ya 2013 sh ngp had mkonon
 
Back
Top Bottom