Subaru xt bei mil 21 imported from Japan imetembea km 60k na ina mwaka na nusu tangu inunuliwe.. n ya 2008 na cc yake ni 1490.. colour ni black... Iyo ractis ni mil 14 yenyewe inatumia mfumo wa gesi ila ukitaka niweke bila gas nakubadilishia mfumo
Huyu mburura tu kwani wanao endesha Toyota hawafi? Hata tunao panda mabus tunakufa tu. Subaru ni gari ya wanajua magari. Iko stable, ina Changanya haraka, iko conformable, ina option nyingi za uendeshaji na haichoshi ukiwa kwenye uskani.