Mada: Fahamu mambo mbalimbali kuhusu gari aina ya Subaru Forester

Subaru Legacy b4 haijanisumbua kabisa BE engine.....spares zipo mingi. genuine spares na bei ni reasonable. nunua BH iko poa...ila kwa wese usiwe muoga. unataka station wagon au ni saloon?
 
The best ya wil eva drive...hiyo gari inapaa sana...iko na power ya kutosha sana...usipokua muoga hamna mtu anakupita njiani..huo mlio wa engine ndo matata sana...wil recommend foresta 2002 model with turbo charger....ukiwa nayo huwazi mabadiliko ya hali ya hewa maana yenyewe ni all weather road.

Subaru r the only true AWD..go for it bro..ya wont regret..tena ukiweza chukua mpya...matatizo makubwa ya subaru ni gasket tu.
 
Subaru ni balaa ukiingia ndani husikii mlio we cheki speedometer utajua unakimbiaje kuna siku nilikuwa naovateki harrier ilikuwa inanjazia kiwingu barabarani kuja kucheki speed wakati nampita nilikuta 170 then nikamuacha hakuniona teeenaaa kama una haraka iko vizuri kwa safari ndefu ila uwe na pochi ya kutosha kwa mafuta maana inameza kadiri unavyozidisha mibio oil filter siyo ghali kivileee inashea na rav 4 oilfilter moja tsh 15,000 plugs ndo ziko juu moja 50elf na ukifunga ngk unasahauu pelekagarage ya mtu aliyewahi kutengeneza subaru plugs kufungua ni shughuli kwa mzoefu zote nne anatumia lisaa na nusu kwa asiyezijua hata matatu unaweza ukawa unashangaa.

Ulaji wake mafuta ni 7km/h sababu ya turbo zisizo na turbo unatembea hadi 10km/h ila ndo hazikimbii sana kama zenye turbo ninayo mwaka wa pili unaisha sasa sijabadilisha chochote zaidi ya oilfilter na air cleaner tu
 
Mkuu sio wote wanaonunua vibaba vya mafuta na unga kila siku wanapenda? Hali halisi inabana..
 
Hapo kwenye rangi nyekundu una uhakika?
 

Mkuu, hii gari kwa mazingira yahuyo jamaa ni mwisho wa safari! Gari imara sana na kana nguvu balaa, Full Time 4WD kaka, spare kweli ni ghali lakini hakiharibiki ovyo, ulaji mafuta ni inakaribiana sana na RAV4 lakini inaizidi RAV4 kwa kila kitu isipokuwa labda nafasi ya ndani!
 
Ahsanten sana kwa hili bandiko....nam ndio mchuma ambao uko rohoni mwangu. JF ni zaidi ya globle knowledge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…