MADA: Fahamu zaidi kuhusu mbinu za kilimo cha tikitimaji, faida na changamoto zake

Naomba namba zako mkuu nitakutafuta na mimi niko Arusha nna mpango wa kulima tikiti
 
una busara, hakika umelelewa vema na wazazi wako. kongole kwako!
 
naomba niwe rafiki yako 😉😉😉😉
 

Mimi sijakufurumusha kwa matusi na wala siwezi kufanya hivyo............na unapochangia hoja hapa JF sidhani kama unanilenga mimi.......!!! mimi nawakilisha Wakulima wanyonge.........

Hebu ona sasa kinachoendelea huko mikoa ya kusini nimelima Ufuta tumeambiwa na tayari tumeshajiandikisha majina na Mashamba yetu kitu hiki kimenipa WASIWASI Sana kwani hata wa KOROSHO wamefanyiwa hivyo na mpaka sasa wengi hawajalipwa........!!!

Swala la eti kama ''tusingekuwa na Wakulima, Meza zenu za chakula zingekuwaje.................????'' Kwa hili limeniudhi sana Mkuu Sisi wakulima mnatufanya Matrekita yenu ya kuwawekea chakula mezani kwenu.........??? haya basi iwe fair play nunueni kwa bei isiyomuonea mtu yeyote hamtaki.........nyinyi mnachoangalia Meza zenu zijaee chakula tuuu.........!!!!!! alafu mnatamba MJINI KUNOGA CHAI.....................!!!!!!!!!

Nyinyi muliopo mjini nyinyi ndiyo chanzo cha mazao ya wakulima kuwa na bei ndogo.........mathalani utamkuta mtu analalamikia bei ya Sembe kuwa kilo Tsh 800/= kuwa ni ya juu na kutaka iwe Tshs 200/=..............!!!! hapo unajiuliza sana hivi huyu ana Akili kweli unga wa sembe uwe Tsh 200/= alafu MKULIMA auze mahindi kilo Tsh ngapi............!!!??? napata hasira sana .....
 
Hana chochote huyo kilimo cha kwenye makaratasi tu hicho............!!! wengi walienda kulima wakaona ugumu wake wakaishia kuwashawishi watu wa Mjini washirikiane na kuweka faida kibaoooo..........walipowapa Pesa mbona walilia...........KULIMA MCHEZOOOOOOO...!!!!!!!!!!!!! Kusikie tu kwenye makaratasi..........
 
KUFELI KWAKO KWENYE JAMBO FULANI HAIMAANISHI WOTE WANAFANYA HIYO SHUGHULI PIA WATAFELI. KUFELI AU KUFANIKIWA NI SUBJECTIVE ISSUE NIKIWA NA MAANA KWAMBA HAKUNA FORMULA YA KUFANIKIWA AU KUFELI KWNYE JAMBO LOLOTE INATEGEMEA NA FACTORS NYINGI SANA.

KINGINE NI KWAMBA TAMAA ZETU ZA KUTAKA MAFANIKIO YA FASTA FASTA NDIO CHANZO CHA KUFELI KWA WENGI SI TU KWENYE KILIMO BALI PIA BIASHARA NA SHUGHULI NYINGINE. HAKUNA UTAJIRI HALALI WA HARAKA HARAKA HAPA DUNIANI. ANZA KIDOGO HUKU UNAJIFUNZA MBINU ZA HIYO BIASHARA AU KAZI NA KADRI UNAVYOPATA UZOEFU WA FURSA NA CHANGAMOTO ZA HIYO KAZI NDIVYO UNAZIDI KUPATA UZOEFU NA MBINU ZA KUKABILIANA NA HIZO CHANGAMOTO.

KWA VIJANA WA LEO WANAFDELI MAMBO MENGI SABABU MOJA WAPO IKIWA NI KUKURUPUKIA KUFANYA MAMBO BILA KUFANYA SURVEY NA ANALYSIS YA KWELI KUHUSU HILO JAMBO (HEAR SAY). PIA KUTOKUWA WAVUMILIVU WA KUANZA KIDOGO NA KUJIFUNZA ZAIDI JUU YA HIYO KAZI/BIASHRA MATOKEO YAKO NI KUUNGUZA MITAJI NA KUKATA TAMAA!
 
Huna cha maana hapo..................swala hapa siyo kukata tamaa, uthubutu na mengineyo kama kuanza mradi taratibu/ kidogo kidogo.............no no no swala ni baada ya yote Soko la bithaa liko wapi.......? na ni la uhakika...........? kwani ukilima kidogo na ukikosa Soko utalima tena.........? huko ndiko tunakosema mnalima kwenye Makaratasi na bado mnakuwa wabishi.............!!!!!!!!! KUMBUKA KWENYE KILIMO HAKUNA KUJARIBU NI VITENDO TU.............Usinichoshe tena na maandishi yako yasiyo na mantiki............
 
KWA HIYO UNATAKA NANI AKUTAFUTIE SOKO? HIVI UNAJUA MAANA YA KUFANYA RESEARCH NA ANALYSIS YA JAMBO? KAMA WEWE KILIMO HUWEZI KAA PEMBENI ACHIA WANAOWEZA! UNATAKA KUAMINISHA WATU KUWA KILIMO HAKIWEZEKANI KUFANYIKA KWA SABABU TU WEWE UMESHINDWA! HAYO NDIO MADHARA YA KUKURUPUKIA JAMBO KWA SABABU WENGINE WAMEKWAMBIA KWAMBA KITU HIKI KINALIPA NA WEWE UNAKURUPUKA TU. KITU KINAWEZA KULIPA KWA MWINGINE NA KWA MWINGINE KIKAFELEI!
 
Habarini wana Jamvi, Ukweli usikate tamaa kwenye kila Jambo, baada ya kusoma makala nyingi juu ya kilimo cha tikiti nilijaribu mwezi wa 9 mwaka 2018 shamba lilikuwa juu ya mlima, matikiti yaliota vzuri hadi kufikia kutoa maua mvua zikakata na yakakauka lakini nikatafuta shamba bondeni nikalima mwezi wa kumi na mbili kwa sasa nimevuna tena sikupiga dawa yoyote na kama ningetumia mbolea na dawa za kuulia wadudu natumaini ningevuna matunda mengi zaidi nataka nijaribu tena mwezi huu wa tatu mvua zikianza kunyesha
 
Dada angu Thamahan mm nngependa kujua changamoto ulizokumbana nazo ili hali wewe ukiwa mbali na uwekezaji wako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada kwema? Kheri ya 2019. Vp kilimo uliachana nacho? Maana na mimi nimeshawishika kutoka kwako kuwekeza kwenye sekta hii.
 
miss naire,
dada una akili sana nimekupenda bure hauna uchoyo wa ufafanuzi ulivolima
kila la heri tena na tena ufanikiwe sana sana
 
Habar za muda huu ndugu wanabodi,
Samahani, nahtaji kufanya kilimo cha umwagiliaji (lakini nategemea kupanda matikiti) naomba mnifahamishe mbegu bora ya matikiti (mbegu ambayo itazaa matunda makubwa,mekundu kwa ndani na yenye sukari nyingi)

Naombeni mnisaidie kwa kuwa najua wapo wataalam wa kilimo humu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…