Escaper
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 1,780
- 3,235
Yani saivi Watanzania kwakweli tunaigopa nchi yetu kiuwekezaji kuliko hata somalia.Au nenda zambia au Malawi kaanzishe duka la nguo au bar itakulipa kuliko kuiwekeza nchini hiyo hela
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani saivi Watanzania kwakweli tunaigopa nchi yetu kiuwekezaji kuliko hata somalia.Au nenda zambia au Malawi kaanzishe duka la nguo au bar itakulipa kuliko kuiwekeza nchini hiyo hela
Kabisa jamaa namsikiliza hapa TBC anampango wa kubana watu zaidi kwenye kodi sijui ataanza kutoza kodi ya kichwa.Yani saivi Watanzania kwakweli tunaigopa nchi yetu kiuwekezaji kuliko hata somalia.
Habari yenu,
Nadhani hapa kuna wataalamu wa kilimo, nimepata sehem nataka nilime matikiti maji kwa kuangalia nimeona ndo biashara inayolipa haraka haraka,
Mtaji nilionao wa kuanzia ni 20,000,000 naomba ushauri wenu juu ya hatua za kufuata,
inaonyesha ulisoma sana hesabu maana umeandika maneno machache lakini hadi mtu ayaelewe inabid atafakari sanaJF darasa tosha, mtu aje aseme hakupata fursa, vibokooo kumi na mbili akamuoneshe mpenziwe
ndo uje ujifunze kutokimbia mashamba wanafanya hivyo kwa kutokubana matumiziIla mbona watu wengi wanaanza vizuri mwisho wake wanakimbia mashamba
utalimia wap heka moja gharama ni 1.2-1.5 inategemea unalimia wap kwa mwez wa 2 si muda mzuri wa kulima kwasabab kuna mvua za mwez wa 3 zinaweza zikakuharibia so inatakiwa uwahi ulime hata sasa hivi zikukute ndo unavunaMkuu,,mimi nataka kulima tikiti ekari moja mwezi wa pili 2019..
Vipi gharama za kulima kuanzia kukodi shamba, kulihudumia zao mpaka kuvuna ni sh. Ngapi??
Na je, soko lipo la uhakika huko mkuranga?? Maana nataka nikope pesa mahali nije niwekeze
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ekari moja return yake inawezakuwa kiasi gani??utalimia wap heka moja gharama ni 1.2-1.5 inategemea unalimia wap kwa mwez wa 2 si muda mzuri wa kulima kwasabab kuna mvua za mwez wa 3 zinaweza zikakuharibia so inatakiwa uwahi ulime hata sasa hivi zikukute ndo unavuna
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ekari moja return yake inawezakuwa kiasi gani??
vibarua wanaujanja mwingi au wanazembea??soko likiwa zuri hadi m5 likiwa baya kabisaaa mill2 ila ukazane kweli shambani! kama utamweka kibarua hakkikisha unamfuatilia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ekari moja unaweka mbolea aina gani, kilpo/viroba vingapi?utalimia wap heka moja gharama ni 1.2-1.5 inategemea unalimia wap kwa mwez wa 2 si muda mzuri wa kulima kwasabab kuna mvua za mwez wa 3 zinaweza zikakuharibia so inatakiwa uwahi ulime hata sasa hivi zikukute ndo unavuna
Sent using Jamii Forums mobile app
mbolea tani moja ya kuku kupandia tani moja kurudishia yaani baada ya siku 20 kisha nitrobar na winer siku ya 35 kisha unarudia tena npk /nitrobar na can au winner siku ya 50Mkuu ekari moja unaweka mbolea aina gani, kilpo/viroba vingapi?
wanategea si anajua hela yake ipo tu ila nimewapenda hawa wa mkuranga unaingia mkataba wa maaandishi nao ukikosa nao wamekosa so wanajitahidi ili wasikosevibarua wanaujanja mwingi au wanazembea??
sawa asantewanategea si anajua hela yake ipo tu ila nimewapenda hawa wa mkuranga unaingia mkataba wa maaandishi nao ukikosa nao wamekosa so wanajitahidi ili wasikose
Sent using Jamii Forums mobile app