MADA: Fahamu zaidi kuhusu mbinu za kilimo cha tikitimaji, faida na changamoto zake

MADA: Fahamu zaidi kuhusu mbinu za kilimo cha tikitimaji, faida na changamoto zake

Au nenda zambia au Malawi kaanzishe duka la nguo au bar itakulipa kuliko kuiwekeza nchini hiyo hela
Yani saivi Watanzania kwakweli tunaigopa nchi yetu kiuwekezaji kuliko hata somalia.
 
Yani saivi Watanzania kwakweli tunaigopa nchi yetu kiuwekezaji kuliko hata somalia.
Kabisa jamaa namsikiliza hapa TBC anampango wa kubana watu zaidi kwenye kodi sijui ataanza kutoza kodi ya kichwa.
 
twenty million ukalime tikikiti mkuu??
Habari yenu,
Nadhani hapa kuna wataalamu wa kilimo, nimepata sehem nataka nilime matikiti maji kwa kuangalia nimeona ndo biashara inayolipa haraka haraka,

Mtaji nilionao wa kuanzia ni 20,000,000 naomba ushauri wenu juu ya hatua za kufuata,
 
Kutokana na kuombwa sana kufundisha kuhusu kilimo hiki nimekuja na wazo tofauti nakaribisha watu kumi wa kujifunza kuanzia upandaji wake hadi kuvuna kila mtu atachangia tshs elfu 50 itatumika kwa chakula na kutengeneza mahema ya kuishi yeye mwenyewe kilimo hiki ni cha miezi miwili na kitaanza rasmi tarehe 10 mwezi huu.

Nitaanza kwa kupanda heka 2 kisha kila baada ya mwezi tutapanda moja. Mapato yakiwa mazuri kuna uwezekano wa kupewa kifuta jasho mwishoni, elimu utakayopata itakua ni zaidi ya hela unayoifikiria, kama hutapata au hutakua na hela unaweza kuja na maharage dagaa unga na vitu vingine kwa ajili ya kula yako.

kwa mawasiliano
tunalimia mkuranga na kama unaweza kuja kujifunza siku za weekend pia karibu

0692809620

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JF darasa tosha, mtu aje aseme hakupata fursa, vibokooo kumi na mbili akamuoneshe mpenziwe
 
Ila mbona watu wengi wanaanza vizuri mwisho wake wanakimbia mashamba
 
Halafu bado watatokea vijana wa kulalamika fursa hakuna, Tanzania maisha magumu, seriously?

Elfu 50 for more than millions of values, hicho unachofanya ni ibada ndugu, endelea na moyo huo huo.
 
Mkuu,,mimi nataka kulima tikiti ekari moja mwezi wa pili 2019..
Vipi gharama za kulima kuanzia kukodi shamba, kulihudumia zao mpaka kuvuna ni sh. Ngapi??
Na je, soko lipo la uhakika huko mkuranga?? Maana nataka nikope pesa mahali nije niwekeze

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,,mimi nataka kulima tikiti ekari moja mwezi wa pili 2019..
Vipi gharama za kulima kuanzia kukodi shamba, kulihudumia zao mpaka kuvuna ni sh. Ngapi??
Na je, soko lipo la uhakika huko mkuranga?? Maana nataka nikope pesa mahali nije niwekeze

Sent using Jamii Forums mobile app
utalimia wap heka moja gharama ni 1.2-1.5 inategemea unalimia wap kwa mwez wa 2 si muda mzuri wa kulima kwasabab kuna mvua za mwez wa 3 zinaweza zikakuharibia so inatakiwa uwahi ulime hata sasa hivi zikukute ndo unavuna

mkuu ekari moja return yake inawezakuwa kiasi gani??
 
utalimia wap heka moja gharama ni 1.2-1.5 inategemea unalimia wap kwa mwez wa 2 si muda mzuri wa kulima kwasabab kuna mvua za mwez wa 3 zinaweza zikakuharibia so inatakiwa uwahi ulime hata sasa hivi zikukute ndo unavuna

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ekari moja unaweka mbolea aina gani, kilpo/viroba vingapi?
 
Mkuu ekari moja unaweka mbolea aina gani, kilpo/viroba vingapi?
mbolea tani moja ya kuku kupandia tani moja kurudishia yaani baada ya siku 20 kisha nitrobar na winer siku ya 35 kisha unarudia tena npk /nitrobar na can au winner siku ya 50

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom