CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora hiyo fixed lakini hayo ya DSE ni majanga hizo faida za kampuni kugawa gawio jua wewe tuAnaweka pesa huko tu ili asije tumia.. au akiweza afungua account bank iwe fixed kisha baada ya muda akachukue akaanze mishe huko..
Afu inaelekea hujui faida inakokotolewa vipi katika makampuni..
Anza kuuliza uelekezwe sio usingizi umekata nawe unaanza kuandika mashudu hapa..
Nunua trekta ukapige vibarua, na utalima upendavyo wewe,Habari yenu,
Nadhani hapa kuna wataalamu wa kilimo, nimepata sehem nataka nilime matikiti maji kwa kuangalia nimeona ndo biashara inayolipa haraka haraka,
Mtaji nilionao wa kuanzia ni 20,000,000 naomba ushauri wenu juu ya hatua za kufuata,
Kama hutaki acha. Hiyo ni hessbu ya kawaida isipokuwa inatakuwa ajipange. Sikazi rahisi kuipata kama unavyodhaniHizi ndizo hesabu zinazowaliza wengi 9milioni upate 30 million ndani ya miezi minne tu faida 21miliion yaani emu niache kidogo
kama ulilima kwa smart4n kupotea nje nje nasikiadaah mwaka jana nililima hayo madude full hasara asee siwezi kurudia bora nilime mahindi tu
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji19]Nililima eka moja yalianza vizuuri yakazaa Matunda vizuuri watu wakaanza kunisifia wengine kukadiria, mwingine utapata million 4, mwingin 6 mwingine 3, yalipofikisha siku 60 yalianza kuoza, kutobolewa na wadudu, mashina kukauka hovyo, na mengine kupasuka. Yaan niliishia kupokea pole kama mtu aliyefiwa. Kweli nilikuwa nayahudumia madawa mbolea na maji kwa kufuata utaalam, sasa nimejuta, nilitumia laki8 nikaambulia laki3.5 so usikurupuke changamoto ni nyingi sana
yes hii ndio hatari zaidi..........Kilimo ubaya wake ni kuwa hakitabiriki na pia unaweza lima ukakutana na matikiti mengine sokoni
wakulima hasa kama una mtaji aisee akipiga anapiga kweli.......Chukua wastani wa walioajiriwa na wakulima ni wapi wenye nafuu kimaisha? Ukipata jibu rudi hapa utoe mrejesho.
kivipi mkuudaah mwaka jana nililima hayo madude full hasara asee siwezi kurudia bora nilime mahindi tu
mwaga hiyo siri mkuuAah sawa lkn kuwa makini mkuu. Maana ni shidaaaah [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaliyomkuta mwalimu wangu ni siri
Sent using Jamii Forums mobile app