MADA: Fahamu zaidi kuhusu mbinu za kilimo cha tikitimaji, faida na changamoto zake

MADA: Fahamu zaidi kuhusu mbinu za kilimo cha tikitimaji, faida na changamoto zake

Chukua jembe chimba shimo weka mbolea yyte ile weka hizo hela fukia kisha mwagia maji juu hapo subiri kuvuna hyo hela baada ya wk tatu.

Yajayo yanafurahisha uko tayari?

Yaani kilimo ndo unaanza kwa mtaji wote huo, fuata ushauri niliyokupa.
Mbona pesa ndogo sana hiyo kwa kilimo
 
Usijaribu kuwekeza hela nyingi hvo anza taratibu hafu sikuhizi matikitiki yapo mengi hata soko lake si nzuri, Fanya utafiti wengi waliolima matikitiki wanalia, mwenzako aliwekeza million 60 sasa hivi analia. Kilimo bongo hii ni janga anza na hela dongo upate uzoefu.
Kwa comment hii inaonyesha wewe sio mjasiriamali
 
Kama unategemea soko la ndani. Tikiti usilime zaidi ya heka tatu. Zaidi jaribu kulima mazao tofauti. Zingatia soko. Ungekuwa hujachelewa ningekushauri ukalime vitunguu maji moshi mda huu. Eka 3 ungetumia kam 9m na usingekosa 30m baada ya miezi 4 ukiwa na usimamizi makini.

Daima kumbuka kilimo bila usimamizi wako ni majanga.
 
Je, kilimo hiki cha tikitiki kinachukua muda gani hadi kuvuna... Na ukanda upi huwa kinakubali kwa Tanzania
 
Kwa comment hii inaonyesha wewe sio mjasiriamali
Acheni kumdaganya mwenzenu huoni mafuriko ya matikiti had hayana thamani, abuni kitu unique au wewe ujasiriamali ni Ku copy vtu vilivo sokoni sasa hapo faida atapata lini. Vtu vingine ni kutumia akili ya kawaida tu ya kuvukia barabara
 
tabora inafanya vizuri zaidi ila pwan pia sio mbaya
 
miezi miwili had miwili na nusu inategemea na mbegu utakayoipanda
 
Bro uko vizuri,ila ntajuaje udongo unakubali tikiti!
uupime au uangalie rutuba ya mazao mengine yanayolimwa hapo rikiti linahitaj mbolea nyng na maji kias so ndo uangalie hivyo vitu kama vipo
 
Hili wananchi wengi wa taifa waendelee wanatakiwa waajiriwe siyo kutegemea kujiajir. Nchi tajir zilizoendelea asilimia zaid ya 90 wameajiriwa. Sasa CCM....
Hujaeleweka.
Rudia kuandika.
Naona pumba tu.
 
USIKURUPUKE,hakikisha unapata mtu ambaye keshawahi lima ndo awe taa yako,usiweke pesa yote shambani hasa na eka moja tu,hakikisha hilo shamba una uhakika nalo
 
Achana na hicho kilimo mkuu tuliza kwanza akili kaweka hiyo pesa bank japo utapata faida ndogo huku unafikilia cha kufanya
 
Kama unategemea soko la ndani. Tikiti usilime zaidi ya heka tatu. Zaidi jaribu kulima mazao tofauti. Zingatia soko. Ungekuwa hujachelewa ningekushauri ukalime vitunguu maji moshi mda huu. Eka 3 ungetumia kam 9m na usingekosa 30m baada ya miezi 4 ukiwa na usimamizi makini.

Daima kumbuka kilimo bila usimamizi wako ni majanga.
Hizi ndizo hesabu zinazowaliza wengi 9milioni upate 30 million ndani ya miezi minne tu faida 21miliion yaani emu niache kidogo
 
Acheni kumdaganya mwenzenu huoni mafuriko ya matikiti had hayana thamani, abuni kitu unique au wewe ujasiriamali ni Ku copy vtu vilivo sokoni sasa hapo faida atapata lini. Vtu vingine ni kutumia akili ya kawaida tu ya kuvukia barabara
Asante bibie
 
USIKURUPUKE,hakikisha unapata mtu ambaye keshawahi lima ndo awe taa yako,usiweke pesa yote shambani hasa na eka moja tu,hakikisha hilo shamba una uhakika nalo
Hiyo aachanane nayo huyu kuna mtu kamtengeneza kuwa biashara ya matikiti inalipa ila yeye hajaifanyia utafiti sasa atumbukize hiyo hela na usawa huu augue ukichaa
 
Eeeh mil 20?? Nakushauri nunua hisa hapo DSE wekeza ili usijetumia kisha mwakani Nenda mtwara kanunue korosho utapata hadi 35 mil..

Matikiti ni moja ya bidhaa ambazo hazivumilii shida hasa ukaaji wa muda mrefu sokoni... Korosho waweza wauzia hadi viwanda vidogo ambavyo huzalisha korosho hizi rosted zikaazo super markets. Au waweza kodi shamba kwa mil 8 hadi 8 ukasafisha na kupulizia dawa pesa yako inarudi kwa mwaka mmoja tu kama shamba ulokodishwa liko na mikorosho ya uhakika..
 
@S A Ngolilo, Yaani apeleke dar es salaam stock exchange biashara zenyewe kule hazieleweki kampuni zinazotangaza faida ni tatu kila mwaka twiga,sigara na tbl tu na wao wenyewe biashara haziende sawa sasa hivi kuna jamaa mmoja alinunua hisa za precision air mpaka Leo analialia tu kama mpumbavu
 
Back
Top Bottom