Mada kwa waliowahi kuanguka mbele ya watu(sio kwa maradhi) ulijisikiaje na ulichukua maamuzi gani baada ya tukio?

Mada kwa waliowahi kuanguka mbele ya watu(sio kwa maradhi) ulijisikiaje na ulichukua maamuzi gani baada ya tukio?

Galbi

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
406
Reaction score
616
Hakuna kitu kinatia aibu kama kuanguka mbele za watu yaani hata kama ni bahati mbaya lazima uishiwe na nguvu na kujiamini kunapotea kabisa ikikukuta ndio utaelewa vizuri .
 
Niliwahi kuanguka nikiwa shule natoka jikoni nikiwa nimeshikilia sahani ya wali uso ulijaa vumbi lakini cha ajabu wali haukumwagika😅😆.. Sikupata aibu yoyote .
😄 😄 😄 😄 wali wa shule ulivyo adimu tena.
 
Hakuna kitu kinatia aibu kama kuanguka mbele za watu yaani hata kama ni bahati mbaya lazima uishiwe na nguvu na kujiamini kunapotea kabisa ikikukuta ndio utaelewa vizuri .
Nikiwa pale chini, nkatoa simu yangu, nikajipiga selfie, nikajifuta, nikaendelea na safari
 
Weshu Wau onga, kuanguka kwa utelezi baada ya mvua vipi?
 
Mi nilianguka nilipotembea kutoka Mwanza kwenda Johannesburg... Nilifika lakini
 
Back
Top Bottom