Mada kwa waliowahi kuanguka mbele ya watu(sio kwa maradhi) ulijisikiaje na ulichukua maamuzi gani baada ya tukio?

Nilienda wilaya fulani, nikachukua hotel karibu na highway, ni barabara kubwa na ina mitaro mipana. Sasa kwakuwa tax huwa inanichukua hotelini, i mean natoka mlango wa hotel namkuta dereva tax ananisubiri napanda nasepa na kurudi hivyo hivyo nashuka tu mlangoni, siku kadhaa...

Siku moja nimechelewa sana kurudi nimerudi saa tano usiku nilijisemea muda huu dereva tax atakuwa kwake kalala simpigii anifuate, nikaulizia daladala nikapanda wakanishusha kituo karibu na hotel, natakiwa kuvuka barabara ndio niende hotelini, basi ile nasubiri magari yaishe ili nivuke nikawa naziangalia taa za magari (huwa nikipigwa na taa machoni naona giza) basi ile magari yameisha tu nikafanikiwa kuvuka kwa speed kidogo kumbe macho bado yanagiza upande wa pili nikawa sioni vizuri nikabiringita nikaingia mtaroni moja kwa moja [emoji3]. Dah bahati mtaro haukuwa mchafu, nikanyanyuka angalia huku na kule hakuna mtu zaidi ya magari yanayopita barabarani, nikajikung’uta nikavua viatu maana nilishindwa kupanda ukuta wa mtaro.... huyo nikarudi zangu hotelini, nilivaa minskirt miguu ilikuwa wazi nikachunika kiasi kwenye miguu.

Sasa kesho yake dereva kanifuata kama kawaida, akaniuliza jana ulirudi saa ngapi nikamwambia mapema tu ila niliona nisikupigie, akanambia jana tulikuwa tumepaki mahali fulani tukakuona umebiringita umeingia mtaroni dah! Niliona aibu sana maana nilijua hakuna mtu aliyeniona jana na hata kama wameniona watu wanaopita na magari hawanijui, kumbe niliona nilivobiringita miguu juu [emoji3]
 
Bila shaka wilaya hiyo iko hapahapa jijini mana mikoani daladala saa5 Ni shuhuli kidogo anyway pole kwa anguko bibie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo daladala (hiace)zinatoka jiji, zinapita wilaya zinaenda mkoa mwingine, kwenye wilaya niliyokuwepo zinaingia stend then zinasepa to mkoa/mji mwingine. Mi niliingia stend nikaulizia daladala za kwenda sehemu fulani wakanijibu hata ukipanda hii inakushusha pale juu[emoji3] kama umezurura utaelewa napopazungumzia.
 
[emoji4][emoji4]umeniweza japo hii lafudhi yako nahisi zinatoka AR zinaenda MO town hapo katikati Kuna ka wilaya huwa wanapenda Sana kutumia neno fulani kwa kusema fulanyii[emoji1787][emoji1787]nahisi nimekosea lakini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilienda wilaya fulani, nikachukua hotel karibu na highway, ni barabara kubwa na ina mitaro mipana. Sasa kwakuwa tax huwa inanichukua hotelini, i mean natoka mlango wa hotel namkuta dereva tax ananisubiri napanda nasepa na kurudi hivyo hivyo nashuka tu mlangoni, siku kadhaa...

Siku moja nimechelewa sana kurudi nimerudi saa tano usiku nilijisemea muda huu dereva tax atakuwa kwake kalala simpigii anifuate, nikaulizia daladala nikapanda wakanishusha kituo karibu na hotel, natakiwa kuvuka barabara ndio niende hotelini, basi ile nasubiri magari yaishe ili nivuke nikawa naziangalia taa za magari (huwa nikipigwa na taa machoni naona giza) basi ile magari yameisha tu nikafanikiwa kuvuka kwa speed kidogo kumbe macho bado yanagiza upande wa pili nikawa sioni vizuri nikabiringita nikaingia mtaroni moja kwa moja [emoji3]. Dah bahati mtaro haukuwa mchafu, nikanyanyuka angalia huku na kule hakuna mtu zaidi ya magari yanayopita barabarani, nikajikung’uta nikavua viatu maana nilishindwa kupanda ukuta wa mtaro.... huyo nikarudi zangu hotelini, nilivaa minskirt miguu ilikuwa wazi nikachunika kiasi kwenye miguu.

Sasa kesho yake dereva kanifuata kama kawaida, akaniuliza jana ulirudi saa ngapi nikamwambia mapema tu ila niliona nisikupigie, akanambia jana tulikuwa tumepaki mahali fulani tukakuona umebiringita umeingia mtaroni dah! Niliona aibu sana maana nilijua hakuna mtu aliyeniona jana na hata kama wameniona watu wanaopita na magari hawanijui, kumbe niliona nilivobiringita miguu juu [emoji3]
pole
 
Back
Top Bottom