Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

Kwa umri huo kuchora picha kama. Hii ni hatua kubwa sana ..!
Lakini
Jinsi ya kutumia pencil kushade mtu lazime ufunzwe technics za kupata huo mwonekano...
Je yeye alijifunza?
Naweza kusema alijifunza lkn kdg tu.
Alipokuwa form one walikuwa wana mwalimu mzuri sana wa art.
Ila na kupenda pia kumechangia. Na ninkama amerithi pia kipaji cha babaake.
 
uyu jamaa yupo Dakar Senegal
embu shuhudia na yeye maajabu yake

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…