EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh!nashindwa kuamini kama zimechorwa maana kiwango chake sio cha kawaida ni kama kamera,anaitwa nani?
Huyu kashahama level za kuchora, yuko kwenye ku print[emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu kashahama level za kuchora, yuko kwenye ku print[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii kachora my girl.
Anapenda kuchora sasa. Hasa sura za watu.
Ila kwenye kupakaa rangi bado hayupo vizuri
My daughter. She is 16 yrshongera Yupo vizuri akaze tu,ni girlfriend or daughter?sijaelewa mkuu
My daughter.
My daughter. She is 16 yrs
Hahahahahahahahaha
Naweza kusema alijifunza lkn kdg tu.Kwa umri huo kuchora picha kama. Hii ni hatua kubwa sana ..!
Lakini
Jinsi ya kutumia pencil kushade mtu lazime ufunzwe technics za kupata huo mwonekano...
Je yeye alijifunza?
Hapo hata MI nimekuelewaMy daughter. She is 16 yrs
Hiyo picha sio photoshop ,bali imechorwa na mtoto mwenye kipaji kikubwa cha uchoraji anatoka NigeriaKuna mahali pameharibu mada yako. Vinginevyo hongera kwa uchoraji. Halafu huyo jamaa mwenye miwani no mambo ya Photoshop uneamua kutuchanganyia au Ni mkono na pencil?
instagram.com
Kuna mahali pameharibu mada yako. Vinginevyo hongera kwa uchoraji. Halafu huyo jamaa mwenye miwani no mambo ya Photoshop uneamua kutuchanganyia au Ni mkono na pencil?