Mada maalum kwa wachoraji, sanaa ya picha na rangi

Naweza kusema alijifunza lkn kdg tu.
Alipokuwa form one walikuwa wana mwalimu mzuri sana wa art.
Ila na kupenda pia kumechangia. Na ninkama amerithi pia kipaji cha babaake.
Vizuri kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…