Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Huyu mbona km namfahamu hivi!!, au namfananisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mbona km namfahamu hivi!!, au namfananisha.
Halafu mm na mikono yote miwili na macho sijui kuchora hata panya[emoji22][emoji22]
Hahahahaa hapo sasaHalafu mm na mikono yote miwili na macho sijui kuchora hata panya[emoji22][emoji22]
[emoji23] [emoji23] aminiKuna raia laana aisee... Hizi picha kama photshop bigup
Uzi mzuri sana huu japo mwanzo nlikua nauchukulia poa, Leo nmeufungua nmeanzia page ya mwanzo mpaka wadau mlipoishia...
Hahahahaa hapo sasa
Hatari fire
Vizuri kabisa!Naweza kusema alijifunza lkn kdg tu.
Alipokuwa form one walikuwa wana mwalimu mzuri sana wa art.
Ila na kupenda pia kumechangia. Na ninkama amerithi pia kipaji cha babaake.
Nenda Nafasi Artspace wapo Eyasi Rd Mikocheni nyuma ya ITV na pia Vipaji Arts wapo TTC Changómbe na OysterbayNatafuta wachoraji wazuri waliopo maeneo ya DSM
Ungepeleka pale Nafasi Artspace ,ni kituo cha sanaa na wanafundisha sanaa mbalimbali wasiliana na hawa Robert Mwampembwa na Fred Halla hawa ni walimu waliobobea katika kufundisha watoto,pia yupo Mims Minzi wote wapo hapo hapo Nafasi ArtspaceMy daughter. She is 16 yrs
Eva ReuleckeView attachment 1079524
Hii sio picha mkuu?
Aisee ,ila kiwango chake utadhani kameraHapana ,amechora huyo Dada mcheck fb anasema alitumia masaa 30 kumaliza hyo kazi