Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Body art
Haya wale wanaojichora kwenye mechi za Simba na yanga waone Mambo hayo sio kujipakapaka marangi nyekundu na kijani[emoji3][emoji3]View attachment 1116867
Ipo vizuri Ila kidogo mdomo una tofauti
Tanzania kuna watu wana mabalaa yao kwenye sanaa ya uchoraji. Huyu jamaa ni mtu mwingine kwenye uchoraji. Heko kwako Obed. View attachment 1117240View attachment 1117241View attachment 1117242View attachment 1117243View attachment 1117244View attachment 1117245View attachment 1117246View attachment 1117247View attachment 1117248View attachment 1117249View attachment 1117251View attachment 1117253View attachment 1117254View attachment 1117255View attachment 1117256
Jamaa mmoja hivi yuko Mwanza ni taabu sana. Nilikutana naye nikaduwaa ana makeke sana kwenye uchoraji.Huyu jamaa ni noma!
Jamaa mmoja hivi yuko Mwanza ni taabu sana. Nilikutana naye nikaduwaa ana makeke sana kwenye uchoraji.
Kipindi nakutana naye alikuwa anachorea kuanzia 30000 (miaka 3 iliyopita).Ok kumbe yupo Mwanza ,anachora bei gani ukimpa picha?
OkKipindi nakutana naye alikuwa anachorea kuanzia 30000 (miaka 3 iliyopita).
Tanzania kuna watu wana mabalaa yao kwenye sanaa ya uchoraji. Huyu jamaa ni mtu mwingine kwenye uchoraji. Heko kwako Obed. View attachment 1117240View attachment 1117241View attachment 1117242View attachment 1117243View attachment 1117244View attachment 1117245View attachment 1117246View attachment 1117247View attachment 1117248View attachment 1117249View attachment 1117251View attachment 1117253View attachment 1117254View attachment 1117255View attachment 1117256
Huyu jamaa ni mnoma sana.
Ni taabu sana huyo kiumbe.Huyu jamaa ni mnoma sana.