Step_Rocker
Senior Member
- Aug 31, 2021
- 197
- 323
My arts
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana!
Nataraj HB pencil ya 300=/ na ufutio wakeHongera sana!
Umetumia pencil za aina gani?
on going kevin hart [emoji111][emoji111][emoji111]Im trying to beat WADUBA yule wapost #1View attachment 1940849
Noma sanaRiteshi mavapuriwalaView attachment 1935834View attachment 1935829
Duh ! Unatumia pencil gani?Im trying to beat WADUBA yule wapost #1View attachment 1940849
Umetisha!!! Hongera sana.Nataraj HB pencil ya 300=/ na ufutio wake
Hapana just hobby tu...hua najipa hasira ya kujiongeza kutoka yuotube nikiokota bando af nikawa na kamuda nachora...Umetisha!!! Hongera sana.
Ulienda drawing school kujua namna ya kushade hivyo?
A piece of art complete [emoji108][emoji108]Im trying to beat WADUBA yule wapost #1View attachment 1940849
Ni vipi tuambiwe water is colorless?
Bora maji, bado najiuliza hiyo karatas ya plastic ambayo hao watoto wamejifunia imechorwajeNi vipi tuambiwe water is colorless?
[emoji23][emoji23][emoji23] hapa tulipigwa. Bora wangesema rangi ya maji ni "nameless"Bora maji, bado najiuliza hiyo karatas ya plastic ambayo hao watoto wamejifunia imechorwaje
[emoji3],waliotafsiri ndio wameamua iwe hivyo,labda sababu rangi yake haipo kwenye upinde wa mvuaNi vipi tuambiwe water is colorless?
[emoji2960][emoji2960][emoji2960] wajinga sana wale.[emoji3],waliotafsiri ndio wameamua iwe hivyo,labda sababu rangi yake haipo kwenye upinde wa mvua
Umepata mia miaKazi yangu hiyoView attachment 1948994