kisokolokwinyo20
JF-Expert Member
- Apr 15, 2019
- 472
- 423
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji111][emoji111][emoji111][emoji123]
Utakuwa mmojawapo bila shaka[emoji38]
Aaah wapi hakuna linalokupita wewe kwa uongeaji wako[emoji85]Unanionea mkuu!sio muongeaji mm!mimi asili yangu mkimya sana![emoji4]
Aaah wapi hakuna linalokupita wewe kwa uongeaji wako[emoji85]
Me mwenyewe mwongeaju balaa...
Daah wanaudhi sana mimi nikikaa na mtu dizaini hiyo huwa namuachia meza nahamia sehemu nyingine
Endelea tu kunionea mkuu..najibu nn ss n mm siwez kuongea
Kuna kamama jirani yangu huwa kaongeaji balaa. Nahisi hadi muda wa kupumua huwa kanakosa.
Mtu anaongea mada ya kwanza kabla hujapanua mdomo kuchangia kashamaliza mada ya pili yupo ya tatu. Basi unabaki kukubali kwa kichwa tu
Hicho ulichoandika tunaweza kujadiliUnahisi tunaweza kujadili nini kwenye hii mada yako maalum??
just curious.
Akaunt ya FaizaFoxy imevamiwa!Mbora katika waongeaji ni yule msikilizaji.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]asee huyo ni nomaKuna kamama jirani yangu huwa kaongeaji balaa. Nahisi hadi muda wa kupumua huwa kanakosa.
Mtu anaongea mada ya kwanza kabla hujapanua mdomo kuchangia kashamaliza mada ya pili yupo ya tatu. Basi unabaki kukubali kwa kichwa tu
Mbora, ubora, bora.Akaunt ya FaizaFoxy imevamiwa!
Mbora = mbona