Mada maalum kwa wanandoa

Hahaha yaaani wewe ni mama muinjili
Nakupenda mm we mdada jamani [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8][emoji8] Mungu wangu azidi kukuweka tu kwa ajili yangu

Asante Melo kwa kuanzisha jf na kunikutanisha na sakayo wangu

Ni vile ninavyokusumbua kila siku na mazonge yangu na kukulilia hunichoki jamani msiri wangu mm
 

Aisee kumbe hata na huko pia kugumu, pole ila umenifurahishaa kwa kweli


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jamani jamanii
Nitumie kungFu hebu msiri wanguu
 
Hakuna mwanaume anayekubali hiyo watapelekana ustawi wa jamii
Kwa nini asikubali, kama watoto ni wadogo wana haki ya kuishi na mama yao! Sidhani kama dada etu ako na mpango wa kuolewa tena
 
ww upo km mm sipendi kelele jaman mm...mie had wazaz wananiambia anakuloga huyo ww[emoji23][emoji23][emoji23]sion ht mia yake[emoji23][emoji23][emoji23]alafu npo cool tu..mwenzangu anafanya online shoping had za watoto ila mie ht hajigusi[emoji106]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], umesema kulogwa nimekumbuka hata mim nilisha ambiwa kuwa yaweza kuwa nilimloga mana anashangaa amewezaje kujikuta kaolewa na mimi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…