Mada maalum kwa wanandoa

Jinsia zote waharibifu utasikia mume akitoka kazini naenda zangu bar kunywa na kula nyama hadi tano au sita kisha nkaweke mbavu home yule mwanamke kisirani sana atazua ugomvi na mifano mengine chungu nzima hata humu imo.

Yani mtoa mada,kama ulikuwepo vile,ndoa sio lelemama.
Ila naona wanaume kwenye ndoa ndo waharibifu kuliko sisi wanawake,,hawachukulii kwa uzito hata ukiongea vipi ,anakaa siku mbili tatu kero iko palepale,
 
Umelenga mule mule

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wanaume jamani sijui kwanini hamuonei uchungu hela kwenye masanga...huyo dada ana tabia kama zangu yaani outing nzima naipigia mahesabu matokeo narud nyumbani na mawazo badala ya raha [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karibu chamani.
 
Duh! Pole sana inaelekea bado una maumivu makubwa ya kuachwa na aliyekuwa mumeo ulimpenda sana, lakini kuendelea kulia haitakusaidia bali kuendeleza majonzi yako. Pole sana.

From wife to single mom(ambao wanasemwa sana) - kumbukeni kuna siku nilikuwa mke halali wa mtu[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…