Mbwa dume
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 5,934
- 10,206
Ambao tunajiandaa kuingia kwenye ndoa tunaruhusiwa kukomenti humu humu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trilioni 1.5
Mimi nakushauri uwe unatoka naye out usitoke peke yako, kila ukitaka kutoka out mwambie ajiandae muttoke naye akiona anakereka atakuwa anakuruhusu utoke peke yako japo mara mojamoja
[emoji23][emoji23]
Vijisenti tu hivyo, tatizo mpare
Ndoto za kuamsha vipele zinafifia taratibuVijisenti tu hivyo, tatizo mpare
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]najua moyoni alikua anawatukana tht nyie mnamtaka mke wangu[emoji23]ndo zake..anajitutumuaga ohh hyu mke wangu[emoji23][emoji23]...nilimtolea mahari..blah blah kibao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nitakupa
Page ya tatu[emoji849][emoji849]...utaumaliza kesho bestHuu uzi kila nilipokuwa nikiuona nilikuwa nakwepa kuufungua leo nimeamua kuufungua kumbe uko bomba sana na ndiyo niko page ya tatu tu!
Kuaga kote bado haujalalaHahaha yaaani kawa mdogooo
Ebu shangaa tena mara nyinginyingi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeeehhh
Nasubiria video kolu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahhaha naanzaje kinywaji cha Sakayo
Khaaa babuNilimaanisha bombardier.... sio kila kitu lazima ukijue...
Unachizika huku unajiona unaanza kuongea peke yakoUmenikumbusha Joy...mdada yule nilimuonea imani jamani daah!
Maumivu ya ndoa yakizidi unaweza kuwa chizi[emoji22]
Sent using Jamii Forums mobile app