Mada maalum kwa wanandoa

"Kama ningekuwa nina jua nakufa kesho na huku sijaoa,basi ningehakikisha nina oa kwanza kabla sijafa." Yaani nife hali ya kuwa niko ndoani.

Nipo ....
 
Loh pole, huyo mke likua naye kwa muda gani kabla hujamuoa?? Dini imesema mathna kuanzia wake wawili mkuu dawa ya mwanamke jeuri muongezee mwenzie atanyooka

Ndo ninachofikiria hv sasa, yaani ndoa ina miezi miwili tu...!!! Daah...!
 
Vizuri my dear. Hongera
 
"Kama ningekuwa nina jua nakufa kesho na huku sijaoa,basi ningehakikisha nina oa kwanza kabla sijafa." Yaani nife hali ya kuwa niko ndoani.

Nipo ....
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji144][emoji144][emoji144]ndoa ni ibada... Ni mojawapo ya ibada kuu tatu

Jr[emoji769]
 
Hatimaye nimesoma posts zote...wtf??

Ukisoma hivi kila siku lazima nyongo ijae mwilini, sitaki kusoma vitu hasi namna hii, havijengi ni kubomoa tu mwanzo mwisho, japo kuna funzo pia tunapata.

Tufanyie kazi mahusiano yetu, huwa naamini hakuna maisha marahisi, uwe single, umeoa/kuolewa, uwe mtawa, divorcee, ishi na dada/kaka zako. Maisha ni fumbo, haturidhiki sisi wanadamu.

Naishi jinsi nilivyochagua, najaribu kufanya compromise ili hata nisiyopenda niendane na mwenzangu. Life's too short to yell all the time!!
Thanx Mshana Jr, bango zuri...
 

Oooh lala Love in the air...........😉😉
 
Kasie wa dadii
 
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…