Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Kwa hiyo mnatushauri Nini sisi mabachela sugu?Aisee...! Mi nna miezi miwili tu ya ndoa nafikiria kutoa Talaka nibaki maisha yangu ya usela maana kabla sijaoa nilikua na furaha lakini sa hv furaha ni asilimia tano tu
Vipi aliogopa Nini?Mimi kuna Mama katika ukoo kuna Mwaka alitembelea Mji naoishi lakini hakufika kwangu kisa sina Mke!!
Ubachela una raha na karaha, napenda uhuru wangu, sipendi kerokero. Mimi hata urafiki kuuvunja nikiona ujinga sishindwi, yaani haichukui hata saa moja, Mke je?
Ila nitaoa....hahaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa yako vipi mamaaa???Hivi hujuagi kuwa ubaya ndo huwa unavuma kuliko wema? Wapo wenye ndoa njema kibao tu, sema wengi wao hawanaga muda hata wa kuandika. Na hata wakiandika kusifia ndoa zao, tunakuwa wa kwanza kuwaongelea mbovu, sijui ndoa yenu ina miaka mingapi blah blah blah. In short binadamu hatupendi habari nzuri
Duu!! Hebu yataje hayo makabila ya ajabu japo mawili tuUshauri sina. Ila ukifikia muda wa kuoa lazima utaoa. Jitahidi sana uoe mwanamke wa kabila lako, kidogo mnaweza kwenda sawa. Lakini haya makabila mengine ya ajabu ajabu sikushauri uoe.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mbarikiwe sana wanaume wote ambao familia zenu ndo priority zenu
Mwanaume anaspend muda mwingi bar na marafiki kuliko anavyospend na familia yake. Kila siku unarudi usiku wa manane, familia yako unamuachia nani? Huwa inanichosha kwa kweli kuwa wavulana wasiotaka kukua, mtu ameoa ila anataka aendele kuning'iniza miguu bar kama paka na kurudi usiku as if hana watu wanaomuhitaji nyumbani. Siku akipata shida, wakesha bar wenzie huwaoni, ni familia inayosuffer. Sijui kwa nini watu hawajifunzi kuwa hata ukifa wasifu wa marehemu hautosema "marehemu ameacha marafiki 5 aliokuwa anakesha nao bar".
It hurts watoto wanamuona baba labda asubuhi tu wakiwa wanakwenda shule. Bado mama hawezi kulala kwa amani hadi mume arejee nyumbani. Unamtesa mkeo kukesha kukusubiri, afu ndo mtu anaingia mdomo unanuka na anataka kukugusa ptuuuu. Me ujinga wa kuamka saa 9 kumfungulia mlango mtu aliyekuwa kwenye starehe zake nilishasemaga sitosettle for that. Wavulana mbadilike
Salama kabisa, ina uzima..
Miaka 50 pumzi imekata??? Utakuwa mwanaume wa dar wewe,piga zoezi mzeeSure... ingekuwa si watoto,dadeq ningeshampiga mbele. Age nayo sasa, 40+ ukimwacha utaoawa wa aina gani?. Akiwa zaidi ya 30 jua nae kaachika, unachukua mzigo aliotua mwenzako!
Akiwa chini ya 30 utagongewa tu maana pumzi ishakata. Ukija kufika 50 yeye ndo yupo kwenye pick anataka kuliwa mzigo kisawasawa. Mie naona tuishi tu maana tushaapa kifo ndio kitatutenganisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you very much, I am here my dear but I'm glad to see you again πΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉπΉ
upadate na walio owana salamaa ila ndani ya ndoa waka unyaka na magonjwa mengineNi siku nyingine tena imepita, tumerudi salama majumbani mwetu, kuungana tena na wapendwa wetu, familia na watoto pia... Baadhi yetu hatujarejea, tuko mishe na viti virefu... Baadhi tuna sababu za msingi na nyumbani wanafahamu na tumewapa taarifa, wanatusubiri watupokee kwa upendo, kwa furaha kwa bashasha kuu
Baadhi hali ni tofauti, hatungependa kuchelewa nyumbani.... Tungependa tuwahi, tuungane na familia, tuimalize jioni kwa furaha kuu kabla hatujaungana kwa dinner na maombi ya usiku.... Lakini hali ni tofauti tunapoteza muda nje saa zisogee ili tukifika tu ni chakula kuoga na kulala... Tunakimbia kero na malumbano yasiyoisha
Ndoa haina furaha.... Ndoa haina amani, majuto ni mengi mno moyoni.. Kila mmoja anajutia kivyake... Hakuna upendo tena... Hakuna kuaminiana tena... Ni mwendo wa kutuhumiana na kuviziana.... [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]baba ana chumba chake.. Mama naye ana chake... Ama la chumba ni kimoja lakini kila mmoja ana kitanda chake...
Hakuna upendo, hakuna sharing, hakuna majadiliano ya changamoto, ya maumivu ya kushinda na kushindwa, ya kutiana moyo na kufarijiana... Kila mtu kivyake... Kila mtu na lwake... [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji24][emoji17][emoji17][emoji17]
Karibuni wanandoa wote.. Ni mada ya kupeana faraja na kushare maumivu... Itambueni nguvu ya kuongea... Kuongea hupunguza maumivu mengi... Kupitia mada hii utajiona hauko pekeyako na pengine utaona kuwa kumbe wewe una nafuu kubwa ukisikia ya mwenzako. Jisikie huru ufunguke....
Funguka kwenye ndoa yako iliyoumizwa na kujeruhiwa sana, iliyotiwa vidonda na makovu ya kila aina
Ya usaliti
Ya kuchapiwa
Ya kusingiziwa
Ya kunenewa mabaya
Ya kudharauliwa kutukanwa na kudhalilishwa
Funguka upate nafuu
Funguka upate faraja
Funguka upunguze sumu mwilini
Funguka upate kupona sasa....
Karibuni wanandoa wote
Jr[emoji769]
Ni kweli kabisa iko siku utafanya kosa na mtu machale kumcheza.
Thank you very much, I am here my dear but I'm glad to see you again [emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257][emoji257]
Kuna dalili njema naziona hapa[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Thank you [emoji1431] [emoji1417]
Kuna dalili njema naziona hapa[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Jr[emoji769]
I do love my sweethubby kwakweli ... Eeh mola zidi kutupa furaha na amani milele na milele Japo sometimes kukwaruzana kupo.......
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Love you more mahondaw wangu...