Mada maalum kwa wanandoa

Mada maalum kwa wanandoa

Pole mkuu, hizi ndoa sijui zina nin siku hizi, hapa Nina mwaka mmoja ndoani , lakini I wish nisingeoa, naona kama niliwahi sana kuoa, yaani I am cornerd, napenda kuwa ndoani, lakini sio na mwanamke huyo!
Doooh hatari hiii

am better here
 
Mi nimekua kwenye uchumba kwa miaka 3 na niko kwenye ndoa lakini bado naona kama simjui vizur..ni msiri sana.ila natamani nimjue hasa kwa sasa ambako nahis sio mwaminifu..na simu yake anaichunga sana.i wish ningekua tcra
Ww ni he or she sorry kwa swali mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hizi ndoa zetu za kidijitali ni maumivu tupu. Vjana ambao bado hamjaoa msikilubali kuingia kwenye kifungo hiki cha maisha. Kula maisha kwanza, msijitie nira ya ndoa itawazeesha kabla ya umri wa uzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hizi ndoa zetu za kidijitali ni maumivu tupu. Vjana ambao bado hamjaoa msikilubali kuingia kwenye kifungo hiki cha maisha. Kula maisha kwanza, msijitie nira ya ndoa itawazeesha kabla ya umri wa uzee.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nawashauri waoane mwanaume akiwa 35+ na mwanamke akiwa 30+... Hapo kila mmoja ana uzoefu wa mapenzi ups and downs

Jr[emoji769]
 
Trust me it takes that much time to know at least half of the whole sickness.... Ni baada ya hapo utaamua uingie ama utoke..
Ni katika hicho kipindi utagundua mengi ambayo hajakusimulia binafsi
Ujanani kabla sijaoa nikiwa kwenye harakati za kutafuta mwenza.... Nikaingia chaka ambalo sitakaa nilisahau... Kuna wanawake ni malaya duniani lakini yule ilikuwa zaidi ya umalaya
Mwanamke kuzunguka kwa wanaume watano ndani ya saa 6 ni rekodi ya kipekee mno... Mimi nikiwa no 5 kuna no 6 ilikuwa inasubiri... Nilipiga karibia kuua

Jr[emoji769]
Duu huyo ni expert mkuu hukutumia uwezo mbadala kumjua huyo dada au hizi mambo zilikua bado hazijakukaa[emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nipo kwenye Ndoa mwaka wa 7 sasa.
Nina Furaha na Ndoa yangu kwa 90%.
Vitu tunavyo vijari kwetu ni.
Mungu kwanza
Upendo
Uvumilivu
Msamaha
Kuzungumza pamoja.
Simu yangu ni yake
Na yake ni yangu
Hatufichani kitu kamwe.
Tuna jari mda wa kukaa pamoja na familia.
Outing pamoja.

Kiukweli sijawahi jutia kuoa. Na nazid kumuomba Mungu azidi kutupa Hekima na Busara mda wote.
NB: Ukishika na Kuiishi dini ya Imani yako, Utaifurahia Ndoa yako tu

Simu ndiyo Sumu zaidi kwenye Ndoa za kisasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom